Recent content by njoo kwetu

  1. njoo kwetu

    JamiiForums Tanzania Looking for a man for a serious relationship that will lead to marriage

    Daaaaa..... Fanya bas hata watoto wa 2 bas..[emoji39][emoji39][emoji39]
  2. njoo kwetu

    JamiiForums Tanzania January, Maharage, Yakubu: Mapacha watatu na dada yao waliojimilikisha sekta ya nishati ya Tanzania

    Hiki kitu hakiwezi kutokea.....
  3. njoo kwetu

    JamiiForums Tanzania Mgonjwa damu kuisha Kila akiongezewa damu tatizo nin?

    Apime sickle cell
  4. njoo kwetu

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Msaada wa kioo cha simu TECNO SPARK #

    naomba kujua bei ya tecno spark 4 touch screen
  5. njoo kwetu

    JamiiForums Tanzania Neema Akeyo alivyolipwa mshahara wake na NMB Plc baada ya kufukuzwa kazi kwa kutohudhuria kazini siku ya Jumamosi

    Wewe jamaa ni muongo..[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
  6. njoo kwetu

    JamiiForums Tanzania Al-Barzakh: Haya ndio Maisha ya Kaburini baada ya kufa

    Hivi nyinyi ndugu zetu.. Mtakuwa wajinga mpka lini ?? Hivi mnazani dunia yote wanazikwa kwa kuvhimbiwa kabuli ??? Au kila mtu anasoma hko kitabu chenu... Na mkiambiwa uthibitishe hayo unayoyasema utaweza kweli..?? Mda mwingine ongezen maarifa kwa dini na watu mbali mbali...
  7. njoo kwetu

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Wataalam wa umeme ushauri 2kva Stabilizer kushindwa kubeba water pump 1hp (750w) na ku trip off

    Jaribu kutafuta fundi apime hyo single phase yako.. Yaweza kuwa umeme unaokuja hapo ni mdogo sana au mkubwa sana ambayo hyo avs inashindwa ku regulate.. Kwa hyo ili kulinda kifaa chako ina sababisha ku trip.. Na ukiweka online katika power supply ina run labda ni kwa sbbu kifaa chako kinaweza...
  8. njoo kwetu

    JamiiForums Tanzania Kila uchao ''magaidi,'' wanafutiwa kesi. Hili limekaaje?

    Mzeee... Siku moja moja bas mtete bas hata mbowe... Au kwa mawazo yako mbowe nae ni gaidi ??
  9. njoo kwetu

    JamiiForums Tanzania Benki ya Dunia: Tanzania hatarini kukumbwa na "stress za madeni"

    Changamoto ya nchi zetu za kiafrica... Kodi nying inatumika katika vitu visivyo vya msingi na ela za mikopo ndio za maendeleo... Tanzania inabid ipunguze mapato kwa viongozi wa serikali.... Unakuta wastaafu wanalipwa zaidi mili 5 hapo bado gari inajazwa mafuta na dereva juu.. Wakati mstaafu...
  10. njoo kwetu

    JamiiForums Tanzania Wakati Wanaojitambua Ghana wanarudisha Raia wao kutoka Ukraine na Urusi, wale Wasiojitambua wako busy Kushangilia Bendera yao Dubai

    Yaan hup ni ukwel... Toka kipind cha corona kule china... Viongoz wa kiafrica wanakemea ubaguzi wa rangi.. Na kipind hko hko na wao wanabagua watu wao.. Africa bado hatuja staarabika kbsa
  11. njoo kwetu

    JamiiForums Tanzania Wakati Wanaojitambua Ghana wanarudisha Raia wao kutoka Ukraine na Urusi, wale Wasiojitambua wako busy Kushangilia Bendera yao Dubai

    Viongozi wengi wa africa hawana utamaduni wa kupenda raia wake.. Hii ndio shida kubwa ya viongozi wengi wa africa.... Mfano mama katoka tanzania kwenda ufaransa kaenda tena belgium.. Baadae karudi tena kakaa siku 3 kaenda dubai.. Safari zote hzo ni ndege.. Lakin ilishindwa kutoa ndege yake...
  12. njoo kwetu

    JamiiForums Tanzania Huko mlipo bado mnatafuta ukweli na bado hamjaupata ndio maana mnahangaika

    Thibisha.... Kama dini ya kweli ni uislam.. Bila kutumia Quran...
  13. njoo kwetu

    JamiiForums Tanzania Huko mlipo bado mnatafuta ukweli na bado hamjaupata ndio maana mnahangaika

    Na tunaendelea kuwa maskin na kuzaana.. Ukiwaambia watumie uzazi wa mpango.. Wanakeambia Mungu hapendi.... Sasa cjui Mungu wao anapenda watu kuzin ovyo ovyo.. Tunadumaa kwa fikra kwa hizi dini zilizokuja na meli.. Ukikutana wanavyobishana mtaani unaweza zani hao wakina ibrahim ni ndugu zao vile
  14. njoo kwetu

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Nimegundua Mume wangu ana uhusiano wa kimahaba na dada yetu wa kazi

    Kwa uandishi huo... Lazima ungesalitiwa tu
  15. njoo kwetu

    JamiiForums Tanzania Huko mlipo bado mnatafuta ukweli na bado hamjaupata ndio maana mnahangaika

    Wanakuhubiria uwe tajira na majumba ya kutosha.. Baadae wanakuomba ela ya sadaka... Wanakwambia dini yetu ya haki... Ukiwaambie wathibitshe... Hawana cha kuthibisha.. Wanakwambia kula chakula fulani ni dhambi... Lakin wanazini na kurogana.. Sasa cjui hyo sio dhambi.. Mungu wao kaumba kila...
Back
Top Bottom