Nafikiri utajisaidia we we binafsi kwa kufanya research kuliko kuwaita wenzeko waropokaji. Kwanza inabidi ujifunze kutumia lugha safi,pili achana na ushabiki wa rangi, angalia ukweli ukoje. UNAFIKI ni sumu inawala watu wengi na hivyo kukosa afya kichwani.
Kama wewe si mkusanyaji mkuu wa hizo, si basi ni vema ukae kimya usikilize kama tunadanganywa na watendaji wetu au la. Unahitimishishaje kuwa ni pesa nyingi sana wakati hata bajeti haiendi inavyopaswa
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.