Recent content by Njindi

  1. N

    JamiiForums Tanzania RC Makonda: Polisi mkiwakamata wahalifu wapigeni bila huruma, watakaohoji waje kwangu

    Mbona bila hata kauli ya Makonda tukishika si tunamaliza wenyewe na kesi hua inaishiaga hapo hapo?!
  2. N

    JamiiForums Tanzania Rais umepotoshwa: Polisi hawawezi kushinda jeshi la watu 45 millioni

    Million 45? Kwa hiyo na mimi nipo? Endeleeni na upuuzi wenu wa mitandao.
  3. N

    JamiiForums Tanzania Wizara ya Utalii, Blog ya Michuzi na gazeti la Mwananchi acheni upotoshaji juu ya Bookings za Watali

    Watalii huja sana sana kuanzia mwezi wa tano. Booking kushuka ndo muda wake huu maana likizo za mavyuo ulaya na likizo wanazochukua za summer ndo zinaishia pia. Nini kinamshangaza watalii kushuka kipindi hiki?
  4. N

    JamiiForums Tanzania Wanawake wa MMU ukiwaambia tu umeoa, PMs zako hawafungui!

    Asante sana,somo hili nimelielewa saanaa... Milango iko wazi hata mimi nimeoa.
  5. N

    JamiiForums Tanzania Yu wapi Mkuu wa Sera na Utafiti CHADEMA Ben Saanane? Aliweza kwa Zitto atashindwaje kwa Lowassa?

    [emoji23][emoji23] nasoma koment zenu
  6. N

    JamiiForums Tanzania Wanawake ndiyo chanzo cha wanaume wengi kuchepuka

    Teh! Ndo maana wanaume wengine wanaamua kugonga mpk 40 ndo wanatangaza ndoa. Muda mwingine hata ndugu yako ukimpigja simu kama hajamuelewa vizuri atasema mchepuko wako. Kila siku kusingiziana. Mwanaume anaona kuliko kusingiziana wongo kila siku bora sasa agonge nje ili ukimsema iwe haki.
  7. N

    JamiiForums Tanzania Show ya Diamond Mbeya, kiingilio Tshs 100,000

    Unaweza hata ukalipiwa hata usitamani kuingia kwa kuiwaza kesho. Wengine watakulipia sifa iwe sawa sawa na wenye kukununulia pombe nyingi unywe mpk ufe ila usichukue bia hata moja kuenda nayo nyumbani.
  8. N

    JamiiForums Tanzania Edward Lowassa ashiriki mazishi ya aliyekuwa Mbunge mstaafu, Beatrice Shelukindo

    Siasa safi wakati damu za vijana vinamwagika. Staki unafki
Back
Top Bottom