Taasisi ya kuzuia na kupambana na rushwa, walitoa majina na fani zao walizosoma. Lakini zimamoto hawajafanya hivyo, kwa nini? jeshi la polisi mwaka jana mwezi wa kumi na mbili walitoa majina na fani zao walizosoma, na kwenye tangazo lao la ajira walitoa fani mbalimbali au wamechukua watu wa fani...