Natafakari kwa kina hawa wachawi wangekuwepo. Ila kwa sasa hawa waliobaki nadhani ni wachawi ila hawatishi maana kuna watu bado majumbani wanalalamika kutokewa na wachawi usiku
Naungana na wewe, jamaa yangu alimtoa mtoto wake shule ya serikali tena inayosifika kwa ubora akampeleka private baada ya kuona mtoto amebadilika tabia na vitu alivyokwenda navyo boarding vyote vimeibiwa. Hakuna cha patron wala matron ni kama kuku wa kienyeji
I wish i call be IGP. Jiweke ktk nafasi ya IGP halafu uwe ktk majonzi ya kupoteza wapiganaji wako hivyo, lazima ukasirike uonyeshe kukerwa, nadhani huo ndio uaskari
Post zote mmefuta baada ya kuona chama kilikurupuka [emoji38][emoji38][emoji38] sasa mmewaachia wapiga propaganda waendeleze ili kuua soo [emoji854] ila Diamond ni mkubwa kuliko Chadema aisee
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.