Recent content by Nizhneserginsky

 1. Nizhneserginsky

  Alisema tusitafutane...

  Usigeuke nyuma utakuwa jiwe la chumvi
 2. Nizhneserginsky

  Tusidanganyane vijana wenzangu, kukithiri kwa zinaa huleta umasikini

  ukispecialize kwa vitoto vidogo hutoumia we ni kupendeza tu &ghetto safi well pimped ,utakula mali safi na kuendelea kuset mipango yako ya maendeleo UCHAWI NI :USAFIRI(CAR)+Look smart muda wote+Job
 3. Nizhneserginsky

  Kuna wanawake wana temperature jamani!

  huu uzi bila picha ya shakira haujakamilika
 4. Nizhneserginsky

  Nimeachwa, naumia sana. Nifanyaje?

  Huwa nawashauri muwe na BACK UP ata ikitokea akakuacha basi hauwezi kuumia kwasababu back up ipo
 5. Nizhneserginsky

  Ulishawahi kula tunda kimasihara?

  hahaaa nimeifanya hii mara kadhaa nikiwa mtoto ilikuwa hivi ... maza alileta house girl mtu mzima aged 27-29 nikiwa 10-16 muda mwingi bimkubwa alikuwa anashinda kazini basi mim nikitoka shule nakuwa loose maskani muda mwingine nazurula tu siku moja bimkubwa alisafiri na mzee bas tukabaki na...
 6. Nizhneserginsky

  Mpenzi wangu kaniacha kisa sina pesa

  Hii case imeisha ndani ya sek 2 TAFUTA PESA Kama ni mechi tayari mshindi amejulikana kabla ya dk90
 7. Nizhneserginsky

  Ulishawahi kula tunda kimasihara?

  "Be humble,Be classy&Smell good"- Carlos The Jackal badae naleta kisa kimasihara...
 8. Nizhneserginsky

  Kukojoa ndani ya swimming pool sio uungwana

  1. kukojoa &kun**ya 2.kupenga kamasi 3.kutema mate ovyo 4.kufanya mapenzi hadharan Tabia za hovyo sana swimming pool,nikionaga mavitu kama haya sitamani hata kuogelea au kwenda
 9. Nizhneserginsky

  Njia ya kubana matumizi

  Huu uzi bila picha haujakamilika, weka picha za hao wanawake 7 tuthaminishe.
 10. Nizhneserginsky

  Kijana usije Dar es aalaam kabla hujahakikisha unakuja kufanya nini, huku watu wanaishi maisha ya umaskini uliokithiri.

  Nasoma huu uzi nikiwa ndani ya DAR LUX (way to DSM) mnipokee wakuu naja kutafuta maisha Asanteni
 11. Nizhneserginsky

  Alichofanyiwa huyu dada leo.....!!

  land rover ilikuwa ya nani? kama ya jamaa, jamaa alichora au?
 12. Nizhneserginsky

  Nimevutiwa na huyu kaka ila naogopa kazi yake

  IST -DFN (usajili) Location m/city cocastic i'm here
Top Bottom