Recent content by niyow

  1. N

    Tumeshindwana na aliyekuwa mpenzi wangu, nimempeleka mahakamani, sasa anaomba msamaha

    Dada mimi nimesoma hii taarifa na nimeamini kabisa ulichosema. Hata kama ingekuwa ya kutunga kama wanavyodai wajinga, umewapa somo wanawake wanaopitia hii situation. Umefanya jambo la maana na nadra sana. Kwa ushauri tu kuwa macho na huyo jamaa anaonekana hana uzima kichwani ni psycho na anaweza...
  2. N

    Wanasheri msaada wa haraka sana

    Unaweza kifungwa jela hata kwa kesi ya madai kama hiyo yako. Unakuwa civil prisoner na anaekudai analipia kiasi flani cha hela kugharimia kifungo chako. Hii ni utaratibu wa sheria ili kulazimisha watu kuwajibika kulipa madeni. Bila kifungo watu wangepuuza tu
Back
Top Bottom