Tumeshindwana na aliyekuwa mpenzi wangu, nimempeleka mahakamani, sasa anaomba msamaha

Huyo jamaa hawezi kua na mapenzi kwa mtu ambaye hajamhudumia chochote kiasi hicho ulichoeleza. Kitu ambacho wanawake mnakosea ni kukubali kuhudumiwa na kugharamiwa kama mke ila ikija upande wenu mnasema mna msimamo hamtaki kutoa huduma.
Sina shaka huyo jamaa kuna cost ameingia kwako ndio kinachomuuma japo sikupenda njia aliyotumia.
 
Nilimkatalia nikamwambia Mimi bado si mkewe so siwezi fanya jukumu lolote la mke.

Baada ya kumjibu vile alinitishia kutafuta mwanamke mwingine ataye muhudumia pamoja na kumpa penzi.

Akanipa siku mbili nifikirie.

Nilimjibu hana haja yakunipa hata saa moja kufikiria yeye aendelee tu kutafuta.

Baada ya siku tatu akanipigia simu akaniambia ameshampata kwahiyo Mimi niendelee na maisha yangu.

Nikamshukuru kwa kunipataarifa nikaendelea na maisha yangu.
sababu umepata hapo pesa hujakosea kabisa........ ila dada nakuambia ukweli tu kama utanimind pouwa ila ukweli ni huo kwa hulka yako hiyo kuishi namwanaume kwenye ndoa utapata shida sana.. mwanaume anataka kutawala na si kutawaliwa ..... kuwa straight ni vizuri ila kuna namna ya kumwambia mtu kwa upole na hekima na akaelewa bila ya hata kumpush in negative hisia.... hongera kwa kupata pesa hapo tu ndiyo nimekuelewa
 
Mchaga na pesa kwenye ubora wake
 
Hahahahaaaaa...

Manka bhana,hapo umeona pesa tu...
 
Dada mimi nimesoma hii taarifa na nimeamini kabisa ulichosema. Hata kama ingekuwa ya kutunga kama wanavyodai wajinga, umewapa somo wanawake wanaopitia hii situation. Umefanya jambo la maana na nadra sana. Kwa ushauri tu kuwa macho na huyo jamaa anaonekana hana uzima kichwani ni psycho na anaweza kukudhuru au kukuua kabisa (tukose wote lakini pia ili kusiwe na mtu wa kumlipa hiyo 10m) nashauri kama huwezi kuhama uende kutoa taarifa polisi na aitwe na kuonywa kwa maandishi kuwa atahusika na lolote baya litakalokutokea. Hii huwatuliza hata majambazi sugu
 
Habarini wanajamvi?

Nilikuwa na mpenzi ambaye tulikuwa na mpango wa kufunga ndoa hapo baadae.
Akaanza kunilalamikia kuwa anataka penzi langu lkn mimi sikuridhia kwasababu hii ni Sera yangu na nilimwambia mapema kuwa sitafanya mapenzi bila kuwa na ndoa na alikubali.

Alikuwa ananisumbua sana kila tukionana hana habari nyingne zaidi ya kutaka penzi nilimkatalia sana baadae akabadiri gia akataka niende kwake nikamfulie nguo.

Nilimkatalia nikamwambia Mimi bado si mkewe so siwezi fanya jukumu lolote la mke.

Baada ya kumjibu vile alinitishia kutafuta mwanamke mwingine ataye muhudumia pamoja na kumpa penzi.

Akanipa siku mbili nifikirie.

Nilimjibu hana haja yakunipa hata saa moja kufikiria yeye aendelee tu kutafuta.

Baada ya siku tatu akanipigia simu akaniambia ameshampata kwahiyo Mimi niendelee na maisha yangu.

Nikamshukuru kwa kunipataarifa nikaendelea na maisha yangu.

Anapoishi ni lazima apite kwangu ndipo afike kwake nikawa nawashuhudia wakiingia na kutoka na huyo mpenzi wake mpya.

Chakushangaza baada ya wiki tatu kupita akaanza kunipigia simu, sikutaka kupokea simu zake na akituma meseji nilikuwa nafuta kabla ya kuzisoma.

Akaona haitoshi akanivizia ile natoka tu kwenda kazini akapaki gari lake vibaya ilinishindwe kupita, nikamuomba apaki gari lake vzr nipite lkn akaniambia hawezi kuliondoa mpaka nimhakikishie kuwa nitakuwa napokea simu zake, kwasababu nilitaka kuwahi kzn ilinibidi ni mkubalie tu. Baada ya kukubali akaniruhusu niondoke.

Jioni yake akapiga simu Mara 25 sikupokea kbsa.

Kesho yake akaniblock tena, sikutaka kubishana nae tena niligeuza gari na kuirudisha home nikapanda boda boda na kwenda job.

Wakati narudi jioni nilimkuta mlangoni kwangu, sikujali nikafungua geti niingie ndani akanivuta na kunitoa nje.
Kabla sijasema neno alianza kunikashifu na kunitukana.

Alinitukana matusi yote , sikujibu neno.
Nilitulia nikisikiliza kwa makini matusi yake, alikuwa anatukana kwa sauti kiasi cha watu kujaa, walimsihi aache matusi lkn hakusikia.

Nikaona isiwe tabu nikaingia zangu ndani nakuendelea na shughuli zangu.

Kesho yake niliona vyema nikaripoti polisi, maana ushahidi nilikuwanao.

Akakamatwa tukaenda mahakamani kesi ikaendelea hukumu ikatoka akakutwa na hatia akahukumiwa kulipa faini ya sh. 2 au kwenda jela miezi 6. Akalipa fain na kuachiwa huru.

Nikafungua kesi ya madai ya fidia ya ghalama za kesi pamoja na fidia ya kudhalilishwa ametakiwa kunilipa ml 10

Pesa hana analia kama mtoto anaomba nsamehe.

Nimenuia kumkomesha ili iwe fundisho kwa watu wenye akili kama zake.

Nitakuwa nimekosea? naomba ushauri wenu hasa wanawake wenzangu.
Kuntu kabisa
 
Safi sanaa mwanamke mwenye msimamo thabiti ni tunu kwa familia yake.
Nimezielewa vyema principles zako naamini utakuwa msaada kwa wanawake wenzio.

Huyu jamaa msamehe hiyo kesi ya madai ya fidia ili yaishe naamini mpk hapo amejifunza vyakutosha na atakuwa na heshima kwa wanawake.
Kuhusiana na ishu ya mahusiano, hilo lipo juu yako nadhan ndo maana haujaliombea ushauri.

Mwisho kabisa usisahau kumwambia "AACHE DHARAU"
 
sidhani kama hii story ya kweli eti sh. 2 au kwenda jera miezi 6 duuu. baada ya kuenda polisi jamaa alifunguliwa criminal case au vp kama ilikua criminal case ni cost zipi uliingia huku kesi za jinai zote zinasimamiwa na serikali maana makosa ya jinai ni against Republic ww unakua shahidi tuu hebu tueleze ni cost zipi uliincure huwezi hire ata advocate hapa
Mkuu sio kila kesi ya hvyo itakuwa "criminal case" nyingine zinakuwa "tortuous case" ukizingatia swala kubwa hapo ni kumtukana na kumzuia kupita na kupitisha usafiri wake hvyo kumsababishia usumbufu ikiwepo kutumia bodaboda, wataalamu wa mambo watakwambia ni defamation and nuisance km sijakosea.
Hiyo kesi ya pili itafuata mkondo wa kudai fidia kutokana na kesi ya kwanza ingawa kulikuwa na uwezekano wa kuiunganisha kwenye case ya kwanza, wataalamu wa mambo wao wanaita "remedies "
 
sababu umepata hapo pesa hujakosea kabisa........ ila dada nakuambia ukweli tu kama utanimind pouwa ila ukweli ni huo kwa hulka yako hiyo kuishi namwanaume kwenye ndoa utapata shida sana.. mwanaume anataka kutawala na si kutawaliwa ..... kuwa straight ni vizuri ila kuna namna ya kumwambia mtu kwa upole na hekima na akaelewa bila ya hata kumpush in negative hisia.... hongera kwa kupata pesa hapo tu ndiyo nimekuelewa
Hayo ni ya kizamani miss chaga, siwezi kumpa nafasi ya kunitawala kisa kisa anajinsia ta kiume.
 
Nina uhakika huyu dada atakuwa wa type ya akina Helln Kijo bi simba... Na ukibahatika kuolewa ndoa yako itakuwa ya shida sana!
 
Huyo jamaa ni mjinga wewe sio type yake kama angekuwa na uelewa wala asingepata shida coz ulikuwa humpendi akashindwa kutambua kwa kuendekeza moyo wake pili mwanamke akiwa anajiweza kimaisha wengi wako hupoteza sifa ya kuwa mke bora pili hata Mimi siwezi kuoa mwanamke ambaye sijaonja papuchi yake nakushauri komaa naye ili aachane nawe ili atafute type yake
 
Habarini wanajamvi?

Nilikuwa na mpenzi ambaye tulikuwa na mpango wa kufunga ndoa hapo baadae.
Akaanza kunilalamikia kuwa anataka penzi langu lkn mimi sikuridhia kwasababu hii ni Sera yangu na nilimwambia mapema kuwa sitafanya mapenzi bila kuwa na ndoa na alikubali.

Alikuwa ananisumbua sana kila tukionana hana habari nyingne zaidi ya kutaka penzi nilimkatalia sana baadae akabadiri gia akataka niende kwake nikamfulie nguo.

Nilimkatalia nikamwambia Mimi bado si mkewe so siwezi fanya jukumu lolote la mke.

Baada ya kumjibu vile alinitishia kutafuta mwanamke mwingine ataye muhudumia pamoja na kumpa penzi.

Akanipa siku mbili nifikirie.

Nilimjibu hana haja yakunipa hata saa moja kufikiria yeye aendelee tu kutafuta.

Baada ya siku tatu akanipigia simu akaniambia ameshampata kwahiyo Mimi niendelee na maisha yangu.

Nikamshukuru kwa kunipataarifa nikaendelea na maisha yangu.

Anapoishi ni lazima apite kwangu ndipo afike kwake nikawa nawashuhudia wakiingia na kutoka na huyo mpenzi wake mpya.

Chakushangaza baada ya wiki tatu kupita akaanza kunipigia simu, sikutaka kupokea simu zake na akituma meseji nilikuwa nafuta kabla ya kuzisoma.

Akaona haitoshi akanivizia ile natoka tu kwenda kazini akapaki gari lake vibaya ilinishindwe kupita, nikamuomba apaki gari lake vzr nipite lkn akaniambia hawezi kuliondoa mpaka nimhakikishie kuwa nitakuwa napokea simu zake, kwasababu nilitaka kuwahi kzn ilinibidi ni mkubalie tu. Baada ya kukubali akaniruhusu niondoke.

Jioni yake akapiga simu Mara 25 sikupokea kbsa.

Kesho yake akaniblock tena, sikutaka kubishana nae tena niligeuza gari na kuirudisha home nikapanda boda boda na kwenda job.

Wakati narudi jioni nilimkuta mlangoni kwangu, sikujali nikafungua geti niingie ndani akanivuta na kunitoa nje.
Kabla sijasema neno alianza kunikashifu na kunitukana.

Alinitukana matusi yote , sikujibu neno.
Nilitulia nikisikiliza kwa makini matusi yake, alikuwa anatukana kwa sauti kiasi cha watu kujaa, walimsihi aache matusi lkn hakusikia.

Nikaona isiwe tabu nikaingia zangu ndani nakuendelea na shughuli zangu.

Kesho yake niliona vyema nikaripoti polisi, maana ushahidi nilikuwanao.

Akakamatwa tukaenda mahakamani kesi ikaendelea hukumu ikatoka akakutwa na hatia akahukumiwa kulipa faini ya sh. 2 au kwenda jela miezi 6. Akalipa fain na kuachiwa huru.

Nikafungua kesi ya madai ya fidia ya ghalama za kesi pamoja na fidia ya kudhalilishwa ametakiwa kunilipa ml 10

Pesa hana analia kama mtoto anaomba nsamehe.

Nimenuia kumkomesha ili iwe fundisho kwa watu wenye akili kama zake.

Nitakuwa nimekosea? naomba ushauri wenu hasa wanawake wenzangu.
Hilo ndo fundisho lao... Safi sana
 
Huyo jamaa ni mjinga wewe sio type yake kama angekuwa na uelewa wala asingepata shida coz ulikuwa humpendi akashindwa kutambua kwa kuendekeza moyo wake pili mwanamke akiwa anajiweza kimaisha wengi wako hupoteza sifa ya kuwa mke bora pili hata Mimi siwezi kuoa mwanamke ambaye sijaonja papuchi yake nakushauri komaa naye ili aachane nawe ili atafute type yake
Ndo hivyo nimeamua kumkomalia ili ajue si wanawake wote wanaweza vua chupi mbele mwanaume asiye mumewe!
 
Nina uhakika huyu dada atakuwa wa type ya akina Helln Kijo bi simba... Na ukibahatika kuolewa ndoa yako itakuwa ya shida sana!
Hayo umesema wewe , maana ufahamu wake ni mdogo unajua kufungua zipu tu lkn kufunga hujui pole sana
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom