Hawawezi kukubali... Hapo kama haeleweki ni kumpotezea tu... Mimi mwenyewe ilinikuta hiyo unayosema. Tena alikuwa ananipa moyo sana kumbe alikuwa hafanyi mchakato wowote..... Hiyo ipotezee... Bora utafute mwingine au namna nyingine....
Mzazi anayepeleka mtoto shule binafsi namshangaa sana anapolalamika.... Hivi hakuna vikao vya wazazi hapo tusiime.. Malalamiko ya private yanapaswa yatatuliwe na private wenyewe sio kama zilivyo za umma
Hao wakipuuzwa na wewe pia na mada yako unapaswa kupuuzwa... Nilichokigundua toka kwako hujui hata maana ya "upinzani" na suala la vyama vingi....
Wewe ulitegemea wapande majukwaani kumnadi magufuli? Hata mimi ningewaona wapuuzi kama mrema.... Kaa upitie upya maana ya vyama vingi na maana ya...
Ni kweli kabisa... Wakati wa uongozi wa nyuma hatukuona maana ya wao kuwepo... Lakini sasa hivi hata makatibu wa kila wizara tunaona wajibu wao wanaitekeleza....
Hawajafanya jambo la kiungwana... Lakini bado nina tupia lawama kwa TCU... Huwa hawazingatii vigezo walivyoambiwa na chuo katika kuwapanga hao wanafunzi.... Lawama hizi zimekuwa zikitolewa mara nyingi sana...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.