Recent content by nipher 1

  1. N

    Kenya: Daktari fake apewa ofa ya kujiendeleza kielimu na kuepuka kifungo

    Dokta Mwaka mwenyewe pamoja na kusomea traditional medicine tumemwandama hadi hana hamu, sembuse huyo!! Angejuta kuzaliwa tanzania
  2. N

    Biashara ya majeneza nayo pia imeanguka

    mkuu upo makini sana kwenye kuhesabu siku. umesahau kujumlisha hapo miaka mitano
  3. N

    Nishaurini, upendo upo kwa jamaa wa zamani ila jamaa mpya anataka kunioa

    Unaonekana bado ni kabinti kadogo. Hata miaka 24 unayosema siamini kama ni kweli maana akili yako ni ya under 20. Endelea kusinzia ukiota waume za watu hadi ukijakuamka uishie kuwa single mother au kuolewa na vibabu vijane ukaitwe mama wa kambo ukalee watoto kama sita huko jumlisha na wako...
  4. N

    Makonda awafunika viongozi na wabunge wote wa Dar

    Hivi mikoa mingine hakuna wakuu wa mikoa? Maana huwa hatusikii wanayoyafanya. Au medias zimehamia kwa Makonda na kuwasahau ma RC wengine?
  5. N

    Nitapataje kidoti kama cha Jokate?

    Salaam wanajukwaa, Kwa miaka mingi nimekuwa nikitamani kuwa na kadoti cha shavuni (kama kajiuvimbe). Nikimwangalia Jokate anapendezea sana na kale kakidoti kake. Naomba wataalam wa maswala ya urembo kama kuna anayefahamu jinsi gani naweza kutengeneza kidoti.
Back
Top Bottom