Recent content by nipaely

  1. nipaely

    JamiiForums Tanzania Unaona?

    Ni shidaaa
  2. nipaely

    JamiiForums Tanzania Nahitaji marafiki

    Ohhh tanx elly....
  3. nipaely

    JamiiForums Tanzania Nahitaji marafiki

    Mungu awabariki...
  4. nipaely

    JamiiForums Tanzania Nahitaji marafiki

    Yaani watu mnamambo humu...sasa we unayesema kuna kitu naficha, kipi??? Nashukuru wote mlionipa ushirikiano sio mda wote mtu atakuwa online pia kuna kazi nyingine za kufanya wapenzi....ila nashukuru kupata marafiki wa kuchat...
  5. nipaely

    JamiiForums Tanzania Nahitaji marafiki

    Hey wapendwa, Nahitaji marafiki wa kuchart na kubadilishana mawazo. Pia napenda kujifunza mengi kupitia watu mbalimbali sibagui dini. jinsia wala kabila.
  6. nipaely

    JamiiForums Tanzania Mashati ya vitenge kwa bei rahisi

    Napatikana survey kabla hujafika chuo cha ardhi dar , mashati yapo yenye bei tofauti kuna ya elfu kumi na tano ,elf ishirini na elfu kumi... Kwa atakaye hitaji asisite kunicheck 0717252513
  7. nipaely

    JamiiForums Tanzania Natafuta kazi, nina diploma ya Record Management na uzoefu wa miaka miwili

    Mim ni msichana wa miaka 25, natafuta kazi jamani! Nina Diploma ya Record Management katika Chuo cha Utumishi wa Umma, nina uzoefu wa miaka miwili nimefanya kazi katika ofisi tofauti katika nafasi ya secretary na customer agent, pia kwa sasa najihusisha na biashara ya mashati ya vitenge kwa...
  8. nipaely

    JamiiForums Tanzania Patamu hapa

    Majibu plz...
  9. nipaely

    JamiiForums Tanzania Me mgeni plz nipokeeni

    Nina furaha kuwa member wa jamii forum...naombeni ushirikiano wenu plz
  10. nipaely

    JamiiForums Tanzania Mashati ya vitenge kwa bei rahisi

    Nauza mashati ya vitenge classic kwa jinsia zote, kwa wakaka na wadada pia na kina baba.
  11. nipaely

    JamiiForums Tanzania Ndoa ina mwaka sasa inanishinda, sina hamu ya kufanya tendo la ndoa na mke wangu

    Me nakushauri tafuta wataalam wanaojua mambo wakupe ushauri pia watakupa njia za kufanya..hata mkeo nae hakuomba kuwa na maumbile makubwa hivyo...tafuta njia za kumsaidia mkeo ili mdumishe ndoa yenu waone hata madoct km ikiwezekana watajua jinsi gani ya kukusaidia ...kuchepuka sio solution...
Back
Top Bottom