Mashati ya vitenge kwa bei rahisi

Mashati ya vitenge kwa bei rahisi

nipaely

Member
Joined
Jun 6, 2015
Posts
11
Reaction score
3
Nauza mashati ya vitenge classic kwa jinsia zote, kwa wakaka na wadada pia na kina baba.
 

Attachments

  • 1433748864417.jpg
    1433748864417.jpg
    76.1 KB · Views: 405
bei rahisi ndio bei gani, au ndio ule msemo wa piga sim.
 
mkuu tangazo lako haliko vyema ningekushauri uliweke vizuri yaani ututajie unauza bei gaini na location yako unapatikana wapi ili tuje
Nauza mashati ya vitenge classic kwa jinsia zote...kwa wakaka na wadada pia na kina baba..
 
Napatikana survey kabla hujafika chuo cha ardhi dar , mashati yapo yenye bei tofauti kuna ya elfu kumi na tano ,elf ishirini na elfu kumi... Kwa atakaye hitaji asisite kunicheck 0717252513
 
Napatikana survey kabla hujafika chuo cha ardhi dar , mashati yapo yenye bei tofauti kuna ya elfu kumi na tano ,elf ishirini na elfu kumi... Kwa atakaye hitaji asisite kunicheck 0717252513

Weka address vizuri. Ni vizuri unapotea tangazo unaweka info kamili including mapicha ya kutosha
 
Hiyo namba nimepiga,mwenye namba kakataaa katukatu hahusiki na biashara ya mashati ya vitenge,na kasema yupo kigamboni sio survey,ni mwanamke.hebu cheki vizuri hiyo namba labda umekosea kutuandikia.
 
Back
Top Bottom