Recent content by Ninja

  1. Ninja

    Tahadhari kwa Kamati ya Ulinzi na Usalama wa Taifa

    Baada ya kuona na kusikia hatua za kinafiki zilizochukuliwa hadi sasa ili kuubembeleza moto badala ya kuuzima, niliamua kuzama tena ndani, katika ulimwengu usioonekana, kuona jambo hili linahusianaje na maono ya awali ya kuharibika kwa nchi na taifa lake. Nikaona maandishi ya lugha za...
  2. Ninja

    GE2025 Imfikie Rais ayafanye ili kuondoa kinachoendelea kwa wananchi

    Shida ni kuwa sikio la kufa...
  3. Ninja

    Tahadhari kwa Kamati ya Ulinzi na Usalama wa Taifa

    Akili kubwa hii.☝️
  4. Ninja

    Tanzania kuwa na Rais mwanamke?

    Nadhani imekamilika sasa au?
  5. Ninja

    Tahadhari kwa Kamati ya Ulinzi na Usalama wa Taifa

    Barua yangu kwa No 1 haikuzingatiwa, nasikitika sana, ona sasa yanayoendelea!, na sasa nakuja kwenu KAMATI na taarifa kutoka kwa ULIMWENGU usioonekana. Sote tunatamani kuwa maovu yote yaliyotokea Tanganyika (Tanzania Bara) yasitokee tena kamwe. Tunatamani mambo yarudi kama zamani. Kwenye...
  6. Ninja

    GE2025 Imfikie Rais ayafanye ili kuondoa kinachoendelea kwa wananchi

    Mheshimiwa rais, Nakusalimu kwa unyenyekevu kwa jina la Jamhuri ya Muungano wa Tanzania! Mheshimiwa rais, nafupisha sana nisikupotezee muda wako adhimu. Mheshimiwa rais, yafuatayo ni mambo niliyoyatafiti na hivyo nimeona vema kukushirikisha kwa njia hii: 1. Nchi haijakushinda kama baadhi ya...
  7. Ninja

    Danadana dhamana ya Dkt. Slaa; Wakili Madeleka ampongeza DPP kwa kutumia Sheria vibaya kukandamiza Watu

    Nimeota malaika wa BWANA akiniambia hivi: "Aliyeshauri Dr. Slaa avuke January 2025 akiwa ndani rumande, kinyume na haki, hatofika Feɓruary 2025 asema BWANA wa majeshi." My take: Huwa namwona Dr. Slaa kama msaliti, na simfagilii kivile yaani lakini sijui kwa nini malaika wa BWANA kaniambia hivi...
  8. Ninja

    PreGE2025 Rais Samia, anayekushauri utumie mkono wa chuma anataka kukupoteza na usionekane kabisa 2025

    Hapa ndio umefikia mwisho wako wa kufikiri. Yaani vidole vyako na akili yako vimepeana talaka tangu ulipozaliwa. Ebu jadili 4Rs na mada niliyotoa halafu tuone kama najadiliana na 'brain' au tope. Tusipotezeane muda hapa. Kama huna cha kuandika humu kuna majukwaa ya wadada wa mipasho na VICOBA...
  9. Ninja

    PreGE2025 Rais Samia, anayekushauri utumie mkono wa chuma anataka kukupoteza na usionekane kabisa 2025

    Hapa umeandika ushuzi tu hakuna kitu. Tatizo huna elimu ila kabila lako mnapenda sifa kujifanya 'by the way' na takataka zingine za kijinga. Chagua lugha moja uandike una mada. Tuanze na 4Rs. Nini unachoelewa wewe kuhusu 4Rs na mkono wa chuma. Nini unajua kuhusu ngozini kuna 'hybrid' ya kupe...
  10. Ninja

    PreGE2025 Rais Samia, anayekushauri utumie mkono wa chuma anataka kukupoteza na usionekane kabisa 2025

    Hapo ulipoanza na neno 'infact' basi nimekuelewa sasa. Kumbe najadiliana fuvu kavu. Haya endelea na 'useless efforts' zako ubahatishe. Kwa heri!
  11. Ninja

    PreGE2025 Rais Samia, anayekushauri utumie mkono wa chuma anataka kukupoteza na usionekane kabisa 2025

    Mlisema hivi kumpambania 'rais wenu wa milele', YUKO WAPI na Mamlaka yake ya kidunia ambayo unadai imetoka kwa Mungu? Yuko wapi aliyeamuru TL auwawe na kafa yeye kwamwacha TL!!!? Soma maandiko yangu ya tangu 2016 nikionya na mkadharau hivi. Sasa adharau tuone.
  12. Ninja

    PreGE2025 Rais Samia, anayekushauri utumie mkono wa chuma anataka kukupoteza na usionekane kabisa 2025

    Mheshimiwa Amiri Jeshi Mkuu: Anayekushauri utumie mkono wa chuma anataka upoteze msingi wako asilia wa ushindi na usimame juu ya msingi usioujua. Kwenye mapigano ya asili, naweza kuwa mpiganaji mzuri nikiwa juu ya farasi lakini nikawa mnyonge nikiwa bila farasi. Au naweza kuwa mpiganaji mzuri...
  13. Ninja

    Tanzania kuwa na Rais mwanamke?

    Fikiria kama ningejibiwa hivi wakati huo. Lakini uzi haukuwa na response hata moja. Asante kwa ushauri.
  14. Ninja

    Tanzania kuwa na Rais mwanamke?

    What if VP akiwa mwanamke? Sijui lakini nauliza tu.
Back
Top Bottom