Recent content by NingaR

  1. NingaR

    JamiiForums Tanzania Msaada jinsi ya kudukua WiFi

    Threads kama hizi ndizo zinazo dhoofisha hili jukwaa.
  2. NingaR

    JamiiForums Tanzania Xbox 360 vs playstation3 nani mkali?

    NDIO.
  3. NingaR

    JamiiForums Tanzania Wana jukwaa ebu nipeni password

    Piga 100
  4. NingaR

    JamiiForums Tanzania Msaada wa kurudisha version ya wasap ya zaman

    Hii update na muonekano mpya wa WhatsApp umeudhi watu wengi sana, Mark baada yakushindwa kuinunua Snapchat amekua akifanya kila namna ili Apps zake ziwe kama Snapchat, alianzia Instagram na sasa amefika WhatsApp. Kawa watumiaji wa Android na kamama umeroot simu yako fanya hivi kurudisha...
  5. NingaR

    JamiiForums Tanzania Maelezo ya ku- root Android phones

    Try searching for CF-Autoroot Galaxy A7, binafsi sifahamu namna ya kuroot
  6. NingaR

    JamiiForums Tanzania Jinsi ya kujua simu imetumika mda gani.

    ni i9505, achana na hizo za exynos wala za Snapdragon 800, wala si GPE au SE.
  7. NingaR

    JamiiForums Tanzania Jinsi ya kujua simu imetumika mda gani.

    Uko sahihi mkuu, hapo miezi kadhaa ndio kinatofautisha. Nikupe mfano Samsung Galaxy S4 ilitoka March 2013 ikaingia sokoni April, mwezi December mwaka huohuo nilinunua Samsung Galaxy S4 na ilikua na Manufacturing date ya October 2013 so utaona simu inaweza kua same model lakini ikawa na tofauti...
  8. NingaR

    JamiiForums Tanzania Mambo ya Kuzingatia Unaponunua Simu janja (Smartphone)

    Mkuu mie nae taka kununua simu kwaajiri ya kupiga na kupokea, SMS, na ku browse email kidogo niangalie yote hayo??
  9. NingaR

    JamiiForums Tanzania Tatizo la mistari katika screen ya pc

    Badilisha kioo
  10. NingaR

    JamiiForums Tanzania Jinsi ya kujua simu imetumika mda gani.

    Mkuu manufacturing date ni tofauti na hizo zinazoandikwa kwenye mitandao, kila simu ina manufacturing date yake pekeake, mfano simu inaweza kua imetoka mwaka 2015 lakini units zikaisha kisha mwaka 2016 zikatengenezwa zingine kwa mantiki hii hizi za 2016 zitakua na manufacturing date tofauti na...
  11. NingaR

    JamiiForums Tanzania Hivi kuna web browser inayoizidi Google chrome

    Lie
  12. NingaR

    JamiiForums Tanzania Hivi kuna web browser inayoizidi Google chrome

    Baki na Chrome tu Mkuu
  13. NingaR

    JamiiForums Tanzania Android system webview

    https://www.quora.com/What-is-the-Android-system-WebView-app-and-how-can-I-use-it
Back
Top Bottom