Recent content by nimpole

  1. nimpole

    JamiiForums Tanzania Nipeni mawazo mimi mwalimu wa ajira mpya kuhusu chama gani cha walimu cha kujiunga

    Jiunge na CHADEMA ndicho chama pekee Tanzania ambacho huwatuma mawakili wake kila siku kuwatetea watumishi wa umma na watanzania kwa ujumla pale serikali inapowaonea watumshi wake.Vingine vyote vilivyoba ni matawi yaCcm bayo watumishi wanaponyanyaswa na serikali yenyewe huwazuga wanachama wao...
  2. nimpole

    JamiiForums Tanzania Mbowe na wewe ni TISS au?

    Unauliza swali gani kwa mbowe? Swali hilo unatakiwa umuilize Majaliwa aliyeunda tume kwa raslimali za taifa kwa ajili ya kumtafuta mnyama ,Faru na sasa amekaa kimya juu ya suala la saanane bila kujali kuwa saanane ni kijana aliyekuwa nguvu kazi ya taifa hili na anathamani kubwa sana kuliko Faru...
  3. nimpole

    JamiiForums Tanzania Mbowe usiwachukue walioachwa na CCM

    Beba wote kwani wanawapiga kura nyuma yao ukianzia kura zao wenyewe.
  4. nimpole

    JamiiForums Tanzania Makonda, onesha Vyeti vyako halali wanaokutuhumu waaibike

    Kame kuuma.umesahau kuwa siasa ni maisha unataka waache kuhubiri siasa wakati madawa ya kulevya yanahubiriwa ikulu pia vyeti feki vikihubiriwa ikulu.but the way gwajima amehubiri vyeti feki na kuwaeleza wanafamilia wake kuwa ukifoji cheti usitegemee atakuombea ili kiwe original kama anavyofanya...
  5. nimpole

    JamiiForums Tanzania Uchaguzi wa mbunge Longido; Spika Ndugai kupeleka barua NEC

    Huu ni mwaka wa majuto kwa ccm maana Nangole anarudi kwa kishindo kuliko alivyoshinda awi .Ccm mwaka huu watajibeba na Daud Albert Bashite wao.
  6. nimpole

    JamiiForums Tanzania Makonda, onesha Vyeti vyako halali wanaokutuhumu waaibike

    Daud Bashite ni shujaa wa kufoji na kutumia vyeti na majina ya watu wengine kwa manufaa yake binafsi.
  7. nimpole

    JamiiForums Tanzania Makonda, onesha Vyeti vyako halali wanaokutuhumu waaibike

    Yote hayo ameyataka magufuli kuanzisha uhakiki wa vyeti feki.Sasa Daud Albert Bashite atwambie yeye aliponaje uhakiki na magu anatakiwa amfute haraka vinginevyo wale wote walioondolewa kazini kwa hoja ya vyeti waeudishwe ofisini na magu awaombe radhi watanzania kwa operation feki ya vyeti kama...
  8. nimpole

    JamiiForums Tanzania Fagio laanza kunukia: Mawaziri 13 kikaangoni

  9. nimpole

    JamiiForums Tanzania Siasa za Tanzania -Bendera na kadi zapangwa kuchomwa U/Taifa

    Acha propaganda wewe kada wa kijani chadema chama tawala 2020
  10. nimpole

    JamiiForums Tanzania Tundu Lissu aianza rasmi safari yake kuelekea urais wa TLS

    Bigup TL tuko pamoja na kwa uwezo wa Allah utashinda kuwa Rais wa TLS inshaallah.
Back
Top Bottom