THE WORST VALENTINES DAY
0683213365
.kwa,kwa,kwa ile sauti ya viatu bado ilisikika ikitembea katika korido ya nyumbani kwangu na hali ya hewa ilikuwa ya upepo mkubwa..hofu ilitaka kunikamata lakini nilihisi kuwa naota na hivyo nilitoka tena kwa mara nyingine taratibu nikichungulia ni nani...
Takribani miezi minne sasa wahitimu wa tumaini university iringa wamemaliza chuo lakini cha kushangaza ela yao ya tahadhari hawajarudishiwa hadi leo ambayo ni shilingi elfu 50 kwa kila mmoja...huu ni muendelezo wa urasimu wenye nia ya kuwapoteza maboya na hatimaye ela izo kupigwa na...
Sasa siku zote ulikuwa wapi kupinga sheria ya kulipa haya malimbikizi?kwann uanze kupinga ulipwaji wa Lema badala ya kuanza kupinga sheria iliyopitishwa na bunge lenye wabunge wengi wa ccm ili kuhalalisha ulipwaji huu wa mamilioni ya shilingi??HOJA YAKO NI NZURI ILA IMEKAA KISHABIKI
Kama JAJI ana historia ya KUPIGWA CHINI KWA KESI ZAKE KILA ZIKIENDA KWENYE RUFAA TENA KWA FORESEEABLE GROUND KAMA HII YA LOCUS STAND...kuna haja gani ya MAMLAKA YA UTEUZI KUENDELEA KUMUACHIE AWE JAJI? JE NI WANGAPI WAMEENDA JELA KWA UAMUZI WAKE MBOVU NA KWA ELIMU YAKE YA KUGOOGLE??
Je ni akili...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.