Recent content by nimechafukwa

  1. nimechafukwa

    Mradi wa "AFCON City" Arusha: Ni Upigaji au uzembe? Wananchi tumelipa mamilioni, viwanja vimebaki kuwa pori!

    Siongelei uwanja kaka, nazungumzia viwanja vilivyouzwa na wizara ya archi
  2. nimechafukwa

    Mradi wa "AFCON City" Arusha: Ni Upigaji au uzembe? Wananchi tumelipa mamilioni, viwanja vimebaki kuwa pori!

    Wana-JF, Mnamo Agosti mwaka huu, Serikali kupitia Wizara ya Ardhi ilitangaza fursa kubwa kwa wakazi wa Arusha na Watanzania kwa ujumla. Tulitangaziwa uuzaji wa viwanja katika eneo la Olmoti/Oloresho, eneo ambalo limezunguka uwanja mpya wa kisasa wa Samia Suluhu Stadium. Lengo lilikuwa ni...
  3. nimechafukwa

    Ni muda wa kufufua mradi wa safari City Arusha

    Habari Wakuu, Safari City ni mradi wa Satellite City uliobuniwa na NHC mwaka 2016 ni miaka 10 imepita bila mradi kuendelezwa ukienda sasa hivi unakutana na mapori, barabara zimefunikwa na nyasi, ni muda sasa wa kufufua mradi huu muhimu kwani uko pembezoni panapojengwa uwanja wa Afcon nashauri...
  4. nimechafukwa

    Nimepata au nimepatikana?

    Wadau mwaka 2017 nilifunga ndoa na mpenzi wangu F niliyedumu naye kwenye mahusiano kwa miaka mitatu, Nadhani sikufanikiwa kumjua kwa undani kiivyo! Jambo linalonitatiza sana ni ishu ya pesa, mke wangu hawezi kutoa hata 100 kununua chumvi, mambo yote ya chakula, Ada,Kodi ya pango na matumizi...
  5. nimechafukwa

    Maumivu ya kugundua mkeo aliwahi kutoa Mimba

    Mliowahi kuoa wanawake halafu mkaja kugundua uko mbeleni kwamba ujanani mwake alishatoa mimba kadhaa, mna deal vipi ya hiyo depression? Mimi inanitesa sana, alishakiri na kuomba msamaha na mimi nikamsamehe lakini nimeshindwa kutoa haya maumivu moyoni kwangu kabisa. Naombeni msaada N. B Mke...
  6. nimechafukwa

    Mkoa wa Kilimanjaro unashangaza kidogo

    Nilishangaa juzi kati nilivyosikia kuna vijiji 3,000 Bado havijapata umeme, sikuwahi kujua kama kuna shida ya umeme Tanzania kwani tokea miaka ya 90 kijijini kwetu Kibosho ndani ndani kuna umeme. Shule za kata zipo kabla serikali haijaamua kujenga shule za kata Tanzania nzima. Maji ni bwerere...
  7. nimechafukwa

    Patrick Ngowi, Isaya Yunge na Benji Fernandes wameenda wapi?

    Hawa watu watatu wamewahi kuni inspire sanaa kwenye mapambano ya kutafuta chapaa, recently sijawasikia kabisa. Wameenda wapi?
  8. nimechafukwa

    Kero tunazokutana nazo kisa tumefanikiwa kimaisha

    Wadau samahanini sana kwa typing error, Turnover yangu ni 10m na sio 100m.
  9. nimechafukwa

    Kero tunazokutana nazo kisa tumefanikiwa kimaisha

    Wadau lengo la Uzi huu sio kubrag wala kuwaumiza watu ambao bado wanapambana kimaisha ila bado hawajatoboa. Mimi ni mjasiriamali, na naweza kusema kwamba nimefanikiwa kwa kiasi fulani kwani Turnover yangu kwa siku si chini ya million 10 hizi ni baadhi ya kero nazokutana nazo kila siku 1...
  10. nimechafukwa

    Huu ni Ugonjwa gani?

    Miaka ya nyuma nikiwa kijana nilikua na tabia flani ya kukaa kimya... Naweza kumaliza siku nzima sijaongea kabisa na watu, meseji za watu nilikua si reply...yaani nakua na mood ya kutokutaka mazoea kabisaa na mtu yoyote... Nilikua napendelea zaidi kujifungia chumbani..yaani nilikua na mind my...
  11. nimechafukwa

    Tuzidishe kuwaombea masheikh waliowekwa rumande miaka 7 kwa dhulma nchini Tanzania

    Kama walikua wamefungwa kwa kuonewa naamini serikali hii sikivu ya Magufuli ingeshaliwachia...lazima kuna jambo walilifanya Ebu tujiulize tu swali rahisi Yale mauaji ya kibiti bado yanaendelea? Milipuko ya mabomu Arusha inasikika tena? Jibu ni rahisi sana, wale wote waliohusika walishakamatwa.
  12. nimechafukwa

    Bookworms of JF, what's your favorite book (s) and why?

    *Tough Times Never Last but Tough people Do" Ni kizuri sana ukikisoma pale unapopitia katika matatizo.
  13. nimechafukwa

    Nilipata akili baada ya kifo cha Baba yangu

    Mwaka 2015 nilimpoteza baba yangu ambaye alikuwa tegemezi kubwa sana katika familia, enzi za uhai wa baba financially alikuwa vizuri sana. Nilikuwa nimeajiriwa, pesa zangu ziliishia kwenye pombe na wanawake. Imagine at the age of 30 I was staying at home with my parents na nilikuwa na kazi nzuri...
  14. nimechafukwa

    Zitto: Ushauri wangu kuhusu Mlipuko wa Korona

    Makampuni ya utalii na Hotels nyingi sana Arusha zimewapa wafanyakazi wao likizo isiyo na malipo kutokana na mlipuko wa Corona...swali langu ni kwamba Je ni sawa kuwafukuza wafanyakazi kwa njia hii?..naomba serikali iingilie kati kwani tutakufa kwa njaa.
  15. nimechafukwa

    Usizae na mme wa mtu

    Wadau sababu zilizonifanya kuleta uzi huu ni kero ambazo nimekua nikipata kutoka kwa mpangaji mwezangu aliyezaa na mme wa mtu..mara nyingi hasa usiku mtoto huzidiwa hivyo nalazimika kuchukua nafasi ya baba wa mtoto kumkimbiza mtoto hospital ...huwa namwacha mke wangu kitandani....huyu dada kwa...
Back
Top Bottom