Boya kweli ww Faizafoxy unatoa mada na kuchangia ujinga at per..rudi wakuambie upya na kilicho fanya asihutubie geita ni sound ilikuwa below standard na nenda hapo masaki kambi yenu wakwambie magufuli kilimkuta nini Mbeya baada Pacemaker kutaka kugoma akiwa jukwaani..magifuli mgonjwa mbaya na...
Ndio mapenzi sio hapo tu hata kusaidia kutimiza malengo..hiyo asiye jua hata historia anasema Saddam ni rais wa kuwait mkewe kamshinda..anataka urais wa nchi wakati bado anapractice DOMESTIC VIOLENCE.anakuaje rais wa Tz
Kama shetani hivi Gamba hili lilivyo jiinua hapa..peleka utoko huo Lumumba njaa zitawaua pussy ww fuata akili na moyo sio mnawekwa hapo Masaki kufanya ujinga mnatumika kama Condom
Ajabu kabisa kwa mara kwanza mmoja wa marais wa jumuiya ya afrika mashariki nae ni Paul Kagame rais wa Rwanda hasa alipo kaririwa na vyombo vya habari katika mazungumzo yake na vyombo vya habari akisema ..na nukuu kwa tafsiri "kuhubiri demokrasia ni jambo moja ila kuifanya demokrasia ni jambo...
Nashangaa kuona katikati ya mambo makini na kuwaza mlango wa kutokea ndipo Mgombea urais anae obyesha kukosa mvuto kiasi kikubwa kupitia CCM ndg Magufuli akitia aibu kwa bri rahisi pale anapo ibuka na kudai kwamba Upinzani hawa jipya na kuwa wameiga hata nyimbo yao ya "Alimselema" kweli ni...
Kiukweli kama kweli twaitakia mema nchi yetu ni vema tukakubaliana kukubaliana juu nguvu ya CHADEMA na UKAWA katika Siasa za nchii hii hasa mwaka huu wa uchaguzi kiliko sisi CCM tujifanyapo hatuoni na kujitia upofu kwa kauli nyepesi mwishoe tutazoea kauli zetu na kubeza nguvu za hawa jamaa na...
Simiyu Yetu..utakuwa na makengeza mzee..usione mafuriko vepee mzee..uccm usikutie upofu kama umepevuka kiasa kweli pokea ukweli pale kweli inapokujia udibjshane na ukweli kigogo..babu nyota kmewaka na huu ni mwaka wake na hamuwezi kumzimisha kwa maneno mepesi hivyo boresha kauli wazeee
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.