Hii point yako haijaangalia pande zote ,,,, ww unazan single mother wote ,wameachwa tu ,,kuna kifo kuna matatzo ya hao waliowazalisha ,wengine wao ndo wanaacha kwa sababu mbal mbal mfano unakuta mdada ana akir zake nzur muelewa mstaarabu lakin anazalishwa na mtu ambae sio sahihi ila kwa sababu...