Je, una biashara ya tofali za block?
Unapata changamoto hizi?
Kupoteza kumbukumbu za uzalishaji
Kutojua stock zilizopo
Ugumu wa kuhesabu gharama na faida
Kukosa ripoti za haraka na sahihi
Suluhisho ni TOFALISMART System
Mfumo huu unakusaidia:
Kusajili na kufuatilia aina zote za tofali...
Habari wakuu,
Na hii ndio biashara yangu kukusogezea kitabu chenye biashara 99 za facebook. Nina ujuzi wakuendesha biashara mtandaoni hasa kwenye majukwaa kama Facebook na Instagram.
Hiki kinakuwa kitabu cha tatu kwangu kuandika. Na kwa msaada wa Akili Mnemba imenirahisishia kazi kubwa ya...
tunajizuia kufa kwa mambo mengi tu, sio kwa kutibiwa ugonjwa tu! Tuna kula chakula salama ili tusife, tunakunywa maji ili tusife, tunaishi mahala palipo jikinga na salama ili tusife, tuna vuka barabara kwa ungalifu ili tusife. Kuua ni dhambi hata kama utajiua mwenyewe.
nimemuuliza ChatGPT.
"Marekani inavyo kopa nisawa na Tanzania inavyo kopa?"
MAJIBU.
Marekani na Tanzania zote hukopa, lakini kuna tofauti kubwa katika jinsi zinavyofanya hivyo na vyanzo vya mikopo yao.
1. Marekani Inavyokopa
Marekani hukopa pesa kwa kuuza dhamana za serikali (Treasury...
Stori kidogo kuhusu Asus ni kwamba ilianzishwa na wa fanyakazi wa Acer ambazo zote ni kampuni za Taiwan. Asus sasahivi ni kampuni namba tano duniani kwa uuzaji wa Kompyuta. Asus ana tengeneza motherboard zake mwenyewe kama zilivyokampuni nyingi za Taiwan ambapo kampuni kama Microsoft...
Kuna mawili disk yenye windows inapaswa kuwa ya kwanza, kwenye Boot sequence(hii setting ipo kwenye BIOS) ama pengine settings zako zinahitaji RAID disk na disk zako zimesoma Non RAID, pia setting ipo kwenye BIOS either uweke Legacy au option ingine jaribu kuboot tena.
Kama una uweza kuingia...
Watu wanavyo lalamika hapa sijui kilimo kigumu, sijui mazao yanaharibika.
Mimi naona mleta mada yupo sahihi, sijawahi kusikia wauza chips wanalalamika viazi hakuna sokoni sasa wanaolima ni kinanani na kwanini hawaachi kama hawapati faida, the same kwenye ngano, mpunga, viungo vinapatika na...
Ndio mwisho nimeweka positive thinking hata hivyo ameshapumzika, hakuna kilichotokea tunachoweza kubadili.
Kama tupo kwenye njia sahihi basi tuinadi kwanguvu hii njia sahihi.
Chagua kati ya hardware au software ama yote kwa pamoja kwenye computer,. Ukimaliza chuo tafuta frame tengeneza pc, weka windows, uza acceaaories za pc, ukipata mtaji zaidi uza pc, ama kodi frame kubwa kidogo fundisha computer,... Coding na Programming inachelewesha kutoka huku mtaani, labda...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.