somehow maneno yako yanaendana na nilichokua nakiwaza maana mm nimemwambia toka tunaanza mahusiano kwamba sitaki nimchezee ila naona labda mtoto atakua sio wangu asee ananipa sababu za ovyo sana eti nitamtelekeza nimeamua tu afanye analotaka ila asinishirikishe katika hilo.
Sent from my...
Habari zenu wanajamvi.
Nimejaribu kwa namna zote kumkataza lakini anang'ang'ania isitoshe nina future nae.
Naombeni ushauri nimfanyeje maana niko confused.
Uzi tayari.
Sent from my iPhone using JamiiForums
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.