Mwanamke sio sura

kanchibay

JF-Expert Member
Jan 4, 2019
671
687
Jamani naomba niliweke sawa hili swala, nikwamba uzuri wa mwanamke sio sura bali ni TABIA, na neno hili ni kifupicha "TAko ni BIdhaa Adim"

na ndio maana wanaume tunajitahidi kugeuza shingo na kuangalia nyuma paletu wadada wanapotupita, nikwamba tunajihakikishia kama kweli Tabia njema ipo kweli kwa hao wadada!!?

Kwahyo basi niendelee kuwasihi wanaume wenzangu endeleeni ku maintain wajibu wenu.

mapovu kafulie nguozako za kazi√√

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Tabia ikiwa njema wanaume lazima tukutazame tu

CC Zero IQ
 
Pichani Ni mdada akiwa na tabia Njema yake
1553057455306.jpeg
 
Back
Top Bottom