Dada zangu: Mwanaume aliyekuacha kwa dharau na dhihaka akiomba mrudiane, usikubali

Kanungila Karim

Verified Member
Apr 29, 2016
17,218
2,000
Mwanaume yeyote aliyekuacha kwa dharau, dhihaka, matusi au hata kukuonyesha uchafu aliokuwa akiufanya na wanawake wengine, akiomba mrudiane naye usikubali.

Nakusisitiza tena, USIKUBALI. Kama alishindwa kutambua thamani yako wakati mpo pamoja hadi mkaachana, hawezi kuitambua tthamani yako mkirudiana. Furaha ya mwanaume kama huyo ni kumuona mwanamke aliyeachana naye akipata shida, akilia na kuuzunika katika maisha yake.

Mwanaume hujihisi fala pale anapokuona unaendelea na maisha yako kama kawaida, unafuraha na amani katika moyo wako, humtegemei wala kumlilia kama ulivyokuwa ukilia hapo awali juu yake, hivyo atafanya kila liwezekanalo mrudiane then akurudishe kwenye vikwazo ulivyovivuka.

Endelea kumuomba Mungu akupe ujasiri wa kusimama mwenyewe katika maisha yako. Muombe sana Mungu aendelee kuyalinda mahusiano yako mapya, ampe imani ya kukujali huyo mwenza wako mpya, akupende na kuyafanya mahusiano yenu kuwa yenye tija.

Muepuke sana mwanaume aliyekuacha kwa mbwembwe kisha anarudi kwa hekima akitaka mrudiane baada ya kukuona umefanikiwa kuyashinda majaribu yake na furaha yako kuimarika,
#nimekumaliza kama utasema oooh mimi nampenda sana bado wewe mruhusu utajionea hata wiki haipiti akisha kutia tu..
Yale yale yanaanza no sms no calls no anything utakua shamba la bibi😅😅😅
 
Hawachi

JF-Expert Member
Nov 25, 2018
12,040

Fact
 
mc gregor

JF-Expert Member
Mar 17, 2017
1,094
2,000
Kuna demu nilikuwa nampaga hela. Kuna kipindi nilimtimua kwa dharau nikamwambia asinitafte.
Toka juzi ananitafta anaomba turudiane.
Hakuna mwanamke atakukataa ukiwa unampa pesa tanzania hii ata umfukuze kwa dharau kiasi gani.
Wanaume tutafteni pesa hizi theory zao haziapply kwa wanaume wenye pesa

Sent from my iPhone using JamiiForums
 
Toa taarifa ya maudhui yasiyofaa!

Kuna taarifa umeiona humu JamiiForums na haifai kubaki mtandaoni?
Fanya hivi...

Umesahau Password au akaunti yako?

Unapata ugumu kuikumbuka akaunti yako? Unakwama kuanzisha akaunti?
Contact us

Top Bottom