Recent content by nicolas150

  1. nicolas150

    Nissan Dualis: Msaada mwenye uzoefu na hili gari naomba ufafanuzi

    Habarini wana jamvi, hivi hii gari Nissan Dualis ya kuanzia 2007 mpaka 2010, ni gari imara? Je inaweza kustahimili mikiki mikiki ya barabara zetu za mashimo? Ulaji wa mafuta umekaaje? Nahitaji mawazo yenu kabla sijafanya maamuzi ya kununua.
  2. nicolas150

    Scrub na maambukizo ya UKIMWI

    Habari wana forum Kuna mjadala hapa tunajadili "Je kufanyiwa scrub ya usoni na muathirika wa virusi vya ukimwi kunaweza kusababisha kuambukizwa virusi vya ukimwi ?"
  3. nicolas150

    Wazee wa games tujuzane games gani nzuri umewahi kucheza

    Game zinazo nichukulia time sana 1. Need for speed payback 2. Fifa 19 3. Conflict storm(global) 4.Need for speed the run 5.Euro Truck Simulator 2(beyond baltic)
  4. nicolas150

    Siku 28 nilizokuwa katika sayari ya Nibiru

    Huyu jamaa kadata kweli
  5. nicolas150

    Account ya Netflix

    Lete hiyo link mkuu
  6. nicolas150

    Account ya Netflix

    Boss wangu mpaka nafikia hatua hii ni kwamba payment methods zangu zote zimenisumbua kwa zaidi ya mwezi sasa
  7. nicolas150

    Account ya Netflix

    Habari wakubwa kwa anaweza niuzia account ya Netflix ani contact kwa namba hii #0768817939
  8. nicolas150

    Akaunti ya Netflix

    Wakuu, naweza nunua account ya Netflix kwa bei reasonable maana naona vodacom master card wanasumbua sana kufanya malipo ya ku subscribe Netflix
  9. nicolas150

    Iphone kwa camera nzuri hana mpinzani?

    Au tafuta one plus 7 imekaa vzr
  10. nicolas150

    Ushauri kuhusu Infinix Hot S4 na Samsung A10, ninunue ipi?

    Mzee yaani S 6 au S 6 edge plus hua zina magonjwa mengi sana, kingine sim hii s6 edge plus kioo chake kina wahi kuvunjika coz hazina gorilla glas iliyo imara kama iliyopo kwenye s8.
  11. nicolas150

    NAOMBENI USHAURI NIIZE HII PC MNOVU KWA BEI GANI.

    Kama vp ww ifungue uniuzie hiyo Rom ya 1 tb ntakupa 50 ya vocha
  12. nicolas150

    Problem after trying install Ressurection Remix OS

    Sasa website zinazo toa ressurection rmx ni nyingi... Hebu jaribu kudownload ressuruction rmx kutoka webu nyingine ambayo iko trusted... After that umesema sim uki connect na pc haisomi sasa toa memory card yako hiyo ya external weka kwenye kadi Reader then connect na pc, baax Da ya hivyo...
  13. nicolas150

    Window Pc to have Mac Os look

    Unaweza kufanya pc yako inayo tumia window os kama vile window 7,8 na 10 kuwa na mwinekano mzuri wa Pc aina ya Apple... Chakufanya nikudownload na kuinstall kitu kinacho itwa Yosemite skinpack then uigrant administrator permission as default.. tumia link hii macOS Sierra SkinPack
Back
Top Bottom