Recent content by Nicol

  1. N

    Wasichana wa Kazi na akina mama, Tatizo nini?

    kwa sa iv sina strength za kuwatetea sana maana hapa kuna mmoja amenichefua vibaya!ila i believe kama hakufai mwondoe kuliko kumfanyia visivyo!!
  2. N

    Unaikumbuka hii siku ya kwanza..??

    nimesoma za watu had nimesahau yangu!!!!uuuwwwww!!no way mambo mengine hayasahauliki jamani tuache masihara!!! first time nilivyomwona alikuwa wa kawaida sana hata sikumkumbuka ila kulikuwa na sababu ya mimi kuacha namba zangu na yeye akajitolea kunisaidia ila hata namba zake...
  3. N

    Only U MY frIend

    ------- zako aisee
  4. N

    Hainaga digirii

    King'asti:kwanza nimecheka sana,kila nikitaka kucomment naona napoteza muda kwenye hakuna;thanx umenisaidia kwa baadhi ya majibu.wataishia kupangiwa mikao mbali2 kitandani na kuita fundi bomba etc ila wakati wa mipango ya maana watatafutwa wenye degree zao na
  5. N

    Usione mwanaume katulia kwenye ndoa ukajua kaendewa kwa mganga,uganga tunao wenyewe wanawake....

    na ukiona mwanamke katulia??maana nalo sa iv ni janga la kitaifa,kumtuliza mwanamke kunahitaji bidii,shuka point.
  6. N

    Ufoo saro aanika kila kitu juu ya sakata lake

    Umeonaeee!ishakuwa kosa la marehemu hilo!!!
  7. N

    Hellen kijo bisimba...nakuheshimu lakini kwa hili nimekudharau.

    ndugu yangu we acha tu, ujue kimtokacho mtu ndicho kilichomjaa,shuleni pia tulikuwa na kwaya ila mwenzetu alianzia chuoni kwanza hawezi elewa,popote pale u;ipo Allah uwasaidie watu wako inasikitisha sana wape uwezo wa kusaidiana kimawazo pia.
  8. N

    Miaka 37 bila Mume, Mtoto 1 Na uchumi wa 50m au Na Mume, Watoto 4, Na Uchumi wa Laki Kadhaaa!

    nadeclare interest...nimeolewa na pia najua sijaalikwa kuchangia hapa kwani sina tena option ya kufanya choice. Hata na hivyo nasukumwa kuchangia, naomba nitofautiane mtazamo kidogo katika mada hii. Option no.1 siyo choice hata siku moja ya mwanamke, huwa inatokea ni circumstance tu na inaweza...
  9. N

    K Mileage

    Simplicity; Follow your heart , give yourself time. haya mambo ni very subjective.Ukiona hauna raha na hiyo lift usiforce italeta matatizo in a long run ( kama hauna kifua nacho) think twice. Ni kama tu tunavyonunua magari kuna watu wengine wanataka brand new, wengine milleage zaidi ya km 50,000...
  10. N

    Kwa nini baadhi ya wanaume wanapenda nyumba ndogo wakati wameoa!

    hahahahahahahahaha! Ayanda nikilike nitakuwa najicontradict ila umenifurahisha kitu fulani, i wish i could like.
  11. N

    Kwa nini baadhi ya wanaume wanapenda nyumba ndogo wakati wameoa!

    hahahahahahah!pole ya nini tena!sijapandisha munkari mbona!hahahahah!
  12. N

    Kwa nini baadhi ya wanaume wanapenda nyumba ndogo wakati wameoa!

    Mpango wa kando mi haunitishi as long as napata nachotaka wao wagawane mabaki huko na mwenzake. Ukweli siku zote ni mchachu ambao hawataki ukweli they have to deal with it kwa kweli. na kama itatokea nitahisi mabadiliko yoyote na mi siyo factor behind dawa ni moja tu na wanawake wote wenye...
  13. N

    Thread ya watu waaminifu kwa wapenzi wao

    Hongera kaka,bora ndugu yangu umeliwaza hilo ukaamua kushare, maana thread zingine bwana ukisoma hata kama unaimani kubwa na partner wako unaweza jiuliza accidentally ivi niko safe kweli ahahahahah!this is encouraging so much, Mungu akuzidishie nguvu na uzidi kuwa mwaminifu and trust me you are...
  14. N

    Kwa nini baadhi ya wanaume wanapenda nyumba ndogo wakati wameoa!

    wanaume jamani wa sasa!!! GOD :help::help::help:coz no one else can help you guys!Mjueni Mungu atawasaidia.Kama kweli unakula kiapo kikali mbele ya madhabahu halafu unajisifia nyumba ndogo ndo mpango mzima, hayo ni mapepo mnahitaji maombi, nimeshaona downfall nyingi sana za wanandoa...
  15. N

    Kwa nini baadhi ya wanaume wanapenda nyumba ndogo wakati wameoa!

    Nyumba ndogo iko ki business zaidi haiwezi kununa,si unajua customer care.Huwa wanakuwa na mabwana zaidi ya mmoja so akimwuzi mmoja anaenda kubembelezwa na mwingine, kwa hiyo wanaonekana wapole na very understanding kumbe wizi mtupu hapo ndio wanapochukua credit. Wanaume wananunua service zote...
Back
Top Bottom