Habari wana Jamii forum.
Hawa jamaa wa advans bank wametangaza nafasi ya finance assistant na wamesema watu waaply online kupitia address ifuatayo http://recruit.advanstanzania.com ..sasa nauliza ni nani ameweza kuaply kupitia hiyo address Maana mi kila nikifungua hiyo website inakataa...
Jamani matiti kudondoka ni serious,kuna dem mmoja hapa mtaani kwetu alikuwa na matiti ya ukweli (sa 6)..Baada mda akaolewa,alivyorudi tena kutoka kwa mmewe titi halitamaniki (yamedondoka).Ijapokuwa hata hajazaa!mtasemaje ni maumbile..inaonekana huyo jamaa yake anadili sana na kifua
Ha ha ha..i read somewhere kuwa a normal male anakaa for abouts 10-20minutes until he is on again,kumbe i was Exageratng! Siumwi wala nn,thanks for ya concern lakn preta
Wandugu asanteni kwa kunisaidia,huyu jamaa sure kaniboa..huwezi kuamka nyumbani umegombana na familia then unaleta hasira huku JF..sure there is time for everything,jamaa kakurupuka tu.
Ndio maana kukawa na forums mbalimbali,na i think u do not understand why Jf Doctor is here for..unawezaje kujadili masuala ya mgombea mwenza au umaskini kwenye Jf doctor?..wakati kuna forums zingine special kwa hizo discusions?
"please do not criticize what you dont understand"
Habari wana JF,Mimi ni mwanafunzi wa mwaka wa kwanza pale mzumbe university nachukua degree ya accountng and finance(BAF),natafuta kazi yoyote ambayo nitakuwa nafanya na wakati huo huo naendelea na masomo yangu pale chuoni.Kama kuna mtu anaweza kunisaidia tuwasiliane kwenye namba 0789398738
Habari ndugu wana jamiiforum..Naomba niulize swali,hv inachukua dakika ngapi kwa mwanaume alie rijali kuanza tendo la pili la ndoa baada ya kufika kileleni mara ya kwanza.Mara ya mwisho imenichukua kama dakika 12 hivi ili mzee ainuke tena.Hii ni hali ya kawaida au ni matatizo haya,maana...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.