Natafuta temporary job

Nicko

Member
Aug 13, 2009
24
2
Habari wana JF,Mimi ni mwanafunzi wa mwaka wa kwanza pale mzumbe university nachukua degree ya accountng and finance(BAF),natafuta kazi yoyote ambayo nitakuwa nafanya na wakati huo huo naendelea na masomo yangu pale chuoni.Kama kuna mtu anaweza kunisaidia tuwasiliane kwenye namba 0789398738
 
Ndugu kwanini usitafute sehemu ya Kufanya kazi za kujitolea naona hii ni rahisi zaidi tena utaweza kupata uzoefu zaidi
 
Habari wana JF,Mimi ni mwanafunzi wa mwaka wa kwanza pale mzumbe university nachukua degree ya accountng and finance(BAF),natafuta kazi yoyote ambayo nitakuwa nafanya na wakati huo huo naendelea na masomo yangu pale chuoni.Kama kuna mtu anaweza kunisaidia tuwasiliane kwenye namba 0789398738

umepona kile kitu?
 
alikuwa na tatizo la kile kitu...nenda kule jf doc utamkuta....hujambo lakini wewe?
ha ha ha ha!niko poa mama!.........
mkuu hivi hapa tanzania kuna nini?nimeganda airport over four hours kwa ka-trip ka mwanza tuu!wameniharibia bajeti maanake naagiza raundi tu hapa
 
Ha ha ha..i read somewhere kuwa a normal male anakaa for abouts 10-20minutes until he is on again,kumbe i was Exageratng! Siumwi wala nn,thanks for ya concern lakn preta
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom