Recent content by nick4real

  1. nick4real

    Natafuta kazi ya kuwa Graphics Designer

    Rejea Post yangu ya Natafuta kazi ya Graphics Designer.. Naitwa NICKSON AIVAN, Nilipokuja kwa mara ya kwanza kutangaza nataka kazi ya kuwa graphics designer wanaJamii Forums mlinitia moyo na wengne kunitafuta kunipa tenda nashukuru sana Kama unatafuta mtu wa graphics ofisin kwako au unakazi...
  2. nick4real

    Natafuta kazi ya Graphics Designer..

    vyovyote n sawa tuu Boss
  3. nick4real

    Natafuta kazi ya Graphics Designer..

    Naitwa NICKSON AIVAN, Natafuta kazi ya Graphics Designer (Adobe Photoshop, Adobe Illustrator na kiasi kwenye After Effect na Premier Pro) nina uzoefu wa miaka mitano kwenye fani hii pia ni mshindi wa Best graphics designer kwa wanafunzi wa Dar es salaam (UniAward 2019/2020) sifa nyingne ni kama...
  4. nick4real

    Msaada: Nahitaji mwalimu wa kujitolea upande wa Computer Web Design

    Youtube ndio mwalimu wa wengi tumia Youtube Sauc
  5. nick4real

    Msaada, nipo tayari kufa kwa penzi la bar maid

    Daaaaah miaka yako na ya hyo dogo haviendan bado utoto utakuwa unamsumbua na ukitazama miaka yako inahitaj mtu wa kutulia nae hapo ngoma mbich
  6. nick4real

    Ndege ya Jeshi yaanguka na kuwaka moto uwanja wa ndege Mwanza, rubani anusurika!

    daaaaaah kweli kifo hakina komando pole na mungu akuponeshe mapema
Back
Top Bottom