Recent content by Nichumu Nibebike

  1. Nichumu Nibebike

    Kiwanja kinauzwa kipo Tegeta Wazo (mji mpya)

    Nyie walanguzi, endeleeni kuuza viwanja vyenu milioni 60. Sie tunanunua vya Chanika vya milioni mbili mbili.
  2. Nichumu Nibebike

    Ninakwenda likizo ya mwezi mmoja. Nitakuwa hapa kama guest!

    Nahisi kichwa changu kimechoshwa na kusolve matatizo ya walimwengu kila uchao. Leo ukifikiria kuhusu hili, kesho linaibuka jingine. Sasa kwa mchoko huu, nitakwenda mapumzikoni kwa mwezi mmoja. Na hapa nitakuwa naingia kama guest. I go with the full confidence kwamba JF ni jungu kuu lisilokosa...
  3. Nichumu Nibebike

    Vigogo wa Serikali wafikishwa Mahakamani na TAKUKURU kwa rushwa ya Bilioni 11

    Angalau TAKUKURU wamethubutu... Sasa wataweza na watazidi kusonga mbele. Ila rushwa kubwa kubwa ziko kwenye mikataba ya manunuzi ya umma. Kila tenda inapotangazwa na evaluation kufanyika, TAKUKURU iwe inapitia taarifa za kamati ya evaluation na kupitia taarifa za bidders na winners wa tender ili...
  4. Nichumu Nibebike

    Signature za hawa wanaJF zina ujumbe mzito sana

    Na ya kwangu je? Siku ukianza kujenga ndio utaona uzito wake!
  5. Nichumu Nibebike

    Car4Sale Nissan pick up inauzwa

    Embu nishawishi ili niache kununua Prado mpya ya milioni 30, ili nije kununua gari yako namba A kwa milioni 30!
  6. Nichumu Nibebike

    Msichana aliyeniacha naye kaachwa. Je, nimrudie?

    Kosa lilikuwa la kwako. Kama bado unampenda, mrudie.
  7. Nichumu Nibebike

    Rais Magufuli amtumbua bosi wa mabasi yaendayo kasi (Dart), abatilisha uamuzi baada ya dakika 10

    Huwezi linganisha faida ya mtu mwenye gari lililotengenezwa miaka 20 iliyopita na gari jipya. Haya ma Coaster unayoyaina ni mengi ni ya mwaka 1997 kurudi nyuma! Ni vyuma chakavu.
  8. Nichumu Nibebike

    Tabia utakazokutana nazo JF.

    Mimi niko hapa!
  9. Nichumu Nibebike

    Siro atia Neno kuhusu Ndoa.

    Ha hahaa! Mnagawana majengo ya serikali... Alafu unaenda kule kufungwa maisha unakosa opportunity ya kula papuchi. Si bora umuache uvute kifaa kingine? Kwani wanawake wamekwisha?
  10. Nichumu Nibebike

    Dar: Mfanyabiashara Mohammed Dewji(Mo Dewji) atekwa na watu wasiojulikana maeneo ya Oysterbay

    Watamuachia tu. Ila lazima kitita cha pesa kimtoke!
  11. Nichumu Nibebike

    Rais Magufuli amtumbua bosi wa mabasi yaendayo kasi (Dart), abatilisha uamuzi baada ya dakika 10

    Ulipokuwa unajenga nyumba yako Mbezi au Kibamba, ulikuwa unategemea muujiza gani wa kufika mjini? Kama kipato chako ni kidogo, tafuta Phoenix yako. Unapanda taratibu unayonga unafika kazini bila kulipa hata sh mia. Tatizo tunapenda some one else to take a cost burden. We like to live at the...
  12. Nichumu Nibebike

    Rais Magufuli amtumbua bosi wa mabasi yaendayo kasi (Dart), abatilisha uamuzi baada ya dakika 10

    Huwezi fanya biashara ya dala dala kwa mabasi mapya ukapata faida. Ili kuboresha huduma ya mwendo kasi, serikali inabidi iridhie kupanda kwa nauli toka Tsh 650 hadi angalau Tsh 900! Yani mtoa huduma UDART awe na mabasi ya aina mbili. Ordanary na 'Luxury'. Haya ya luxury yawe ndio ya nauli ya Tsh...
  13. Nichumu Nibebike

    Kasi ya ndoa kuvunjika imezidi jamani

    Mama Mwafrika; Ibilisi anayeongoza kusambaratisha ndoa changa Dar! - JamiiForums
Back
Top Bottom