Kiwanja kinauzwa kipo Tegeta Wazo (mji mpya)

Kiwanja kinauzwa kipo Tegeta Wazo (mji mpya)

Mimi nahitaji hicho kiwanja kwa ajili ya kulishia mbuzi ila naona unauza kea bei rahisi sana
Ngoja bei ikipanda hadi 100 mil ndio nitanunua
 
Kama ni ujanja basi, kawahi kiwanja hata Nkuhungu
 
Panashikika, shida ni kwamba, watu wanataka mjini wakati mji ndio unakuwa hvo
nkuhungu ni mjini sana tu mkuu, si kama miaka ya nyuma. hata upatikanaji wa viwanja ni changamoto (pamejengenga sana)
 
nkuhungu ni mjini sana tu mkuu, si kama miaka ya nyuma. hata upatikanaji wa viwanja ni changamoto (pamejengenga sana)
Nkuhungu nimeweka kama ishara ya watu kuiwahi Dodoma,
 
Nkuhungu nimeweka kama ishara ya watu kuiwahi Dodoma,
wawahi maeneo ya mtumba, mnadani, kisasa, nala na maeneo ya iringa road ndio mji unaelekea huko.
 
Yaap, hatutaiona dodoma ambayo leo tuna uwezo wa kui afford ndani ya miaka kadhaa ijayo
 
Yaap, hatutaiona dodoma ambayo leo tuna uwezo wa kui afford ndani ya miaka kadhaa ijayo
haswaa itakua very expensive, zabibu za jero hutazikuta tena mtaani.
 
haswaa itakua very expensive, zabibu za jero hutazikuta tena mtaani.
kwa kweli, mana wafanyakazi na makampuni, wafanyabiashara na watu mbali mbali wanaambatana na uhamiaji wa serikali, jambo litakalofanya Dodoma iwe expensive kama ilivyo kwa Dar es salaam,
 
Mpango nzima Dodoma mkuu,hapo nimekaa miaka mitano vumbi la hapo sio haba so hiyo bei utakuwa nalo milele
 
Nyie walanguzi, endeleeni kuuza viwanja vyenu milioni 60. Sie tunanunua vya Chanika vya milioni mbili mbili.
 
Back
Top Bottom