Recent content by Nicholous Ngasa

  1. Nicholous Ngasa

    Rais Samia Suluhu kuhutubia Bunge Alhamisi Aprili 22, 2021

    Wew vip uliona wP tulia bhna kelele ya nn
  2. Nicholous Ngasa

    Rais Samia Suluhu kuhutubia Bunge Alhamisi Aprili 22, 2021

    Ni kweli me naomba awe na kauli tata km ya rais wetu hayat JPM nilimkubali sana huyu jamaa.
  3. Nicholous Ngasa

    Uzi maalum wa kupata connection za ajira na machimbo mengine

    Nipo musoma kazi ninayopenda ni kaz ya ualimu kujitolea
  4. Nicholous Ngasa

    Simba Sports Club (Wekundu wa Msimbazi) | Special thread

    Hakika simba nimewakubali lazima tuenz kauli ya kamanda wetu.
  5. Nicholous Ngasa

    CAF Champions League: Simba kuingiza mashabiki 10000

    Mnyama point 3 lazima tumuenz uncle magu
  6. Nicholous Ngasa

    Simba Sports Club (Wekundu wa Msimbazi) | Special thread

    Mbona nembo ya yanga geita inaharibiwa au imepitwa na muda?
  7. Nicholous Ngasa

    Mpenzi wako akifa ndani kwako utafanyaje?

    Si unazika au unataka kumfufua ??????
  8. Nicholous Ngasa

    Rafiki yangu wa kike ameniletea zawadi ya shati na tai hii ina maana gani?

    Daaaaaa jaman punguzen kumchamba bc ametosha, , mm naona huo urfk ndo mzur ila yey anatakiw ategeneze mazingir ya kumshika huyo bint, , mpelekee kiatu, sket na kibode au tishet na saa zenye rang moja hasa nyekundu hatatoka , ww boya bung'aa sasa mm nikiingia mzigo unachukuliw fasta sana.
Back
Top Bottom