Rafiki yangu wa kike ameniletea zawadi ya shati na tai hii ina maana gani?

Ndugu zangu nimebaki nimedua sielewi kwanini hili limetokea kipindi hiki.
Rafiki yangu wa kike wa muda mrefu sana ameniletea zawadi ya shati na tai hii inamaana gani.

Wajuvi wa mambo naomba mkuje hapa mweleze nini maana yake.
Shati na tai tuu umeshaanza kuwaza ufirauni, angekuletea boksa siungembaka kweli wewe?

Labda kaona unavaa shati moja kila siku, tena lenye matobo matobo.
 
Ameona unavaa malapulapu na unamtia aibu embu weka picha ya huo msaada tuone
 
Ndugu zangu nimebaki nimedua sielewi kwanini hili limetokea kipindi hiki.
Rafiki yangu wa kike wa muda mrefu sana ameniletea zawadi ya shati na tai hii inamaana gani.

Wajuvi wa mambo naomba mkuje hapa mweleze nini maana yake.
Maana yake ukafanye zile biashara za promosheni.
 
Ndugu zangu nimebaki nimedua sielewi kwanini hili limetokea kipindi hiki.
Rafiki yangu wa kike wa muda mrefu sana ameniletea zawadi ya shati na tai hii inamaana gani.

Wajuvi wa mambo naomba mkuje hapa mweleze nini maana yake.
Mkuu ulitaka akupe zawadi gani??? Sasa angekupa boxa ingekuwaje maana shati tu unakuja kufungua uzi
 
Maana yake wewe malizia kununua suruali, kiatu, mkanda, vest na soski...
 
Daaaaaa jaman punguzen kumchamba bc ametosha, , mm naona huo urfk ndo mzur ila yey anatakiw ategeneze mazingir ya kumshika huyo bint, , mpelekee kiatu, sket na kibode au tishet na saa zenye rang moja hasa nyekundu hatatoka , ww boya bung'aa sasa mm nikiingia mzigo unachukuliw fasta sana.
 
Kwani kuna ubaya gani ndg kuletewa shati na rafiki yako wa kike au ww ulikuwa unawaza kingine tofauti?
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom