Recent content by Nicholaussanga

  1. Nicholaussanga

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Mkasa wa kweli: Nilifanywa boya kwa zaidi ya miaka kumi na mitatu akidai ana mtoto wangu

    Nashukuru kwa wote mlionipatia pole, wengine matusi wengine uandishi mbovu wengine fala, wengine boya wengine nikome uzinzi n.k. La muhimu ni kuwatahadhalisha wengine ndugu,jirani,rafiki n.k wasije wakawa zoba Kama Mimi nilivyofanywa kwa muda wote huo. Pia kwa Sasa ndio naona mapambazuko nami...
  2. Nicholaussanga

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Mkasa wa kweli: Nilifanywa boya kwa zaidi ya miaka kumi na mitatu akidai ana mtoto wangu

    Ndio maana nikasema nitumie Jamiiforums kuwaonya wengine na kuacha kuzini na madhara nilioyapata Mimi kwa Sasa nimetulia na bi mkubwa wangu.
  3. Nicholaussanga

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Mkasa wa kweli: Nilifanywa boya kwa zaidi ya miaka kumi na mitatu akidai ana mtoto wangu

    Ni hatari Sana,
  4. Nicholaussanga

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Mkasa wa kweli: Nilifanywa boya kwa zaidi ya miaka kumi na mitatu akidai ana mtoto wangu

    Mwaka 2008 nilikutana na Binti nikawa nampatia lift kuelekea Posta tukaingia kwenye mahusiano, nilimuuliza Kama ameolewa akasema hapana anaishi na wazazi wake. Mimi nilimwambia kuwa Nina mke na familia hivyo tukawa na mahusiano ya Siri kubwa Sana. Sasa mwaka 2017 katika mahusiano akasema...
  5. Nicholaussanga

    JamiiForums Tanzania Waziri Bashe umeonesha udhaifu mkubwa sana suala la mbolea kupanda bei

    Kwa kweli suala la mbolea ni changamoto Sana bei ziko juu Sana, Ndugu yangu nilimtumia akununue kg50 shs 115000 ya kukuzia baada ya siku tatu kwenda kg50 shs 135000 hii ni Iringa Nyololo village.
  6. Nicholaussanga

    JamiiForums Tanzania Yaliyojiri Mahakamani kesi ya Mbowe na wenzake: Shahidi wa 13, Tumaini Sostenes Swila kuendelea kutoa ushahidi wake Februari 9, 2022

    Asante Sana mkuu kwa kutuhabarisha yanayoendekea mahakamani. Mbowe sio gaidi
  7. Nicholaussanga

    JamiiForums Tanzania Jirani yangu amekuwa akisumbuliwa sana na hawa mapepo wachafu

    Mwambie aende kwa mwamposa Kawe yatatoka Mara moja na Wala hayatarudi tena, Mimi ni andugu yangu yalimtesa miaka kumi na mbili alikuwa anaombewa yanaondoka kimya-kimya. Kumbe danganya toto Ila tulipochukua mafuta na maji anywe na apake yalipiga kelele yakatoka Moja kwa moja hadi Sasa Yuko free.
  8. Nicholaussanga

    JamiiForums Tanzania Yaliyojiri Mahakamani kesi ya Mbowe na wenzake: Upande wa Utetezi waanza kutoa ushahidi. Kesi yaahirishwa mpaka 26 Novemba, 2021

    Asante kwa update mkuu ubarikiwe kwa kweli ni kichekesho mhusika anasema alifika Tazara wao shahidi wa Jana anasema hawakufikishwa ndio maana waliunganisha karatasi lakini wakili wa utetezi wakijua janja Yao wakaumbuka kwa maswali.
  9. Nicholaussanga

    JamiiForums Tanzania Yaliyojiri Mahakamani kesi ya Mbowe na wenzake: Upande wa Utetezi waanza kutoa ushahidi. Kesi yaahirishwa mpaka 26 Novemba, 2021

    Mashahidi wote ukiangalia wanazungumzia Sana ukamataji zaidi na wote asilimia kubwa ni askari kwa uwingi wao itachukua muda mrefu huku watuhumiwa wakiwa wanatabika gerezani kwa kesi isiyo na kichwa Wala miguu.
  10. Nicholaussanga

    JamiiForums Tanzania Joto la dunia, Serikali iamuru mabasi yasafiri usiku

    Hilo la kusafiri mabasi usiku lilikuwepo mabasi ya majinja kwenda Mbeya wakati wa magufuli, baada ya kufariki nasikia mama kayapiga stop kwa kweli yalikuwa yanatusaidia Sana wafanyabiashara na kupunguza gharama za kulala hapa Dar tukitokea mikoani.
  11. Nicholaussanga

    JamiiForums Tanzania Yaliyojiri kesi ya Mbowe leo Novemba 3, 2021: Shahidi Upande wa Mashitaka ashindwa kutokea Mahakamani, kesi yaahirishwa hadi Novemba 4, 2021

    Ubarikiwe na Bwana mkuu kwa kutupatia kila kinachoendelea hapo mahakamani kwa hii kesi ya kubumba ukweli na uongo utajulikana Mungu atakuwa upande wa akina mbowe.
  12. Nicholaussanga

    JamiiForums Tanzania Yaliyojiri kesi ya Mbowe leo Novemba 3, 2021: Shahidi Upande wa Mashitaka ashindwa kutokea Mahakamani, kesi yaahirishwa hadi Novemba 4, 2021

    Mungu yupo upande wa chadema ndio maana Mara nyingi upande wa mashahidi wa upande wa pili huwa wanaumwa kwa hofu ya kutunga ushahidi wa uongo Kama mbowe hakuwahi kumiliki line ya tigo
  13. Nicholaussanga

    JamiiForums Tanzania Polisi mlichowafanyia hao wanajeshi kwa ushahidi wao mmewakomoa ila mnatia hasira

    Uonevu unamwisho wake ndio maana walisema za mwizo siku arobaini ndizo hizi walikuwa hawajulikani Sasa Mungu kawaweka kweupe wangejua kuwa yangekuja kujulikana wasingethubutu kufungua kesi hii Sasa inawaumbua wao wenyewe.
  14. Nicholaussanga

    JamiiForums Tanzania Inadaiwa huyu ndiye Moses Lijenge (luhende)

    Dah! Mungu amsaidie awe hai vinginevyo itakuwa issue kubwa Sana kwa serikali kwa kweli.
  15. Nicholaussanga

    JamiiForums Tanzania Kesi ya Mbowe na Wenzake Mahakama Kuu Divisheni ya Makosa ya Rushwa na Uhujumu Uchumi yaahirishwa. Kuendelea Jumatatu ya tarehe 27/09/2021

    Mungu ingilia Kati kwa kweli kwa ushahidi wa mtuhumiwa inaonyesha kuwa yote walioongea ni uongo tupu kuwa hawakuwapiga,pia kuwa walikuwa nao sehemu mbalimbali wakimtafta mtuhumiwa mwingine.mithali 14:34 haki huinua Taifa.
Back
Top Bottom