Yaliyojiri Mahakamani kesi ya Mbowe na wenzake: Upande wa Utetezi waanza kutoa ushahidi. Kesi yaahirishwa mpaka 26 Novemba, 2021

Asante kwa update mkuu ubarikiwe kwa kweli ni kichekesho mhusika anasema alifika Tazara wao shahidi wa Jana anasema hawakufikishwa ndio maana waliunganisha karatasi lakini wakili wa utetezi wakijua janja Yao wakaumbuka kwa maswali.
 
wamfunge chap huyu gaidi..haya makelele ya ubw## koko yaishie.ushahidi umeenyoka kabisa kesi inatakiwa iwe imeisha muda mrefu sana...hawa mawakili kazi yao imekuwa nikuweka mapingamizi tu ili kuisumbua mahakama ila hakimu kwa wanavyokuchosha..mfunge gaidi na viboko juu
Mkuu wa kesi hii ya ugaidi Ramadhani Kingai katika ushahidi wake aliishia kusema tuliwakamata, tukawaleta Dar es SALAAM, njiani gari likaharibika, tukala supu na MO energy......akaishia blah blah, hajagusia ugaidi. Waliofuata nao ni hayo hayo, Detention register, detention register, detention register! Sasa ugaidi ulivyofanyika Nani ataelezea?
 
Ugaidi uko kwenye detention register, tusubiri ikifumuliwa yote.
 
"Aliyebambikiwa kesi hii ni mtu maarufu sana nchini na mwenye influence kubwa kwenye jamii"
Mkuu jamii ipi au ya wavuta bangi?
 
Tukiacha makandokando na songombingo za kesi hii. Hivi Hii kitu ya "VIP PROTECTION" kwa kutumia ex-comamandos zaidi ya wanne mwamba alikuwa anataka kulinda nini? Kuna mtu ametafakari kwa kina?

Maana inaonekana watuhumiwa wanakiri kutaka kupewa hii kazi!
 
Yaani unashangaa mtu mwenye hadhi kama Mbowe kuwa na walinzi wanne tu? Yaani hauuoni umuhimu wa Mbowe kuwa hata na zaidi ya hao walinzi wanne? Au kisa umeona ni makomandoo?
 
Utasikia matusi tu na majigambo oh mwamba ni mtu maarufu; oh mbona diamond anao; oh ana hela nyingi hata baba yake alichangia harakati za uhuru wa Tanganyika blah blah
 
Cross examination ya hawa jamaa itawaweka mawakili wa serikali kwenye wakati mgumu sana, hawa wanatoa yote kichwani bila kukaririshwa, sasa ni jukumu la mawakili wa serikali kuhakikisha wanawaondoa kwenye reli watu ambao wanatoa ukweli walioupitia.
 
Yaani unashangaa mtu mwenye hadhi kama Mbowe kuwa na walinzi wanne tu? Yaani hauuoni umuhimu wa Mbowe kuwa hata na zaidi ya hao walinzi wanne? Au kisa umeona ni makomandoo?
anahadhi gani- hizo ni typical unique features za magaidi- hasa viongozi wao
 
Tukiacha makandokando na songombingo za kesi hii. Hivi Hii kitu ya "VIP PROTECTION" kwa kutumia ex-comamandos zaidi ya wanne mwamba alikuwa anataka kulinda nini? Kuna mtu ametafakari kwa kina?

Maana inaonekana watuhumiwa wanakiri kutaka kupewa hii kazi!
Kesi yenyewe haikuonyeshi uzito wa Mbowe?
Wakuu wako wanatetemeka mbele ya Mbowe.
 
Back
Top Bottom