Recent content by nicholas saidi

  1. N

    Joseph Mbilinyi 'Sugu' amlipua Zitto Kabwe

    Sugu unapolishwa maneno na mbowe ukaongee bungeni changanya na akili zako tunatambua huna uwezo wa kujibishana kwa hoja na zzk.Kashindwa mama kifalanga,kifalanga wee ndo utaweza, kipindi cha mgogolo mbowe aliahidi kufungua kesi zidi ya zitto kabwe lakini mpaka leo hajafungua.Na wote mlio...
  2. N

    Kagame ndani ya Congo, sisi kiherehere cha nini?

    Hyo atakuwa masalia ya wale walioludishwa bahati mbaya akawa amejificha lakn tusha msoma temu hii anarudishwa yy mwenyewe na viboko juu
  3. N

    CHADEMA Mnaogopa nini kuweka Hotuba ya Wenje kwenye Mtandao wenu?

    Nianze kwa kuwapongeza wana jf kwa michango yenu mizuri zidi ya huu uzi.Wenje haelewi mana ya usalama, uwaziri kivuli wa mambo ya inje na mambo ya kimataifa hauwezi ni mzigo kwake.TANZANIA haikukulupuka kuungana na majeshi ya malawi na s.afrika kule DRC umoja wa mataifa ndio ulio zituma...
  4. N

    Nape Nnauye: CCM ni jino kwa jino na wanaojiita UKAWA

    Ukawa ni mwanvuli unaotumiwa na vyama vilivyo shindwa haswa chadema ili 2015 waanguke vizuri asipatikane wa kumulaumu mwenzake na dalili za kuanguka zimezihilika kalenga na chalinze hawana hamu yaliyowakuta huko yanajiludia 2015 wakiwa na ukawa sunajua kifo cha wengi halusi.
  5. N

    Wabunge hawa hawatarudi Bungeni 2015

    mbowe, wenje, sugu, msigwa,
  6. N

    Alphonce Mawazo achaguliwa kuwa Mwenyekiti wa CHADEMA Mkoa wa Geita

    Kadri siku zinavyokwenda treni ya cdm kasi inazidi kupungua kwenye vituo ikisimama abilia wanashuka hakuna wanao panda.Namashaka hii garimoshi mpaka 2015 litafika station na abilia 6 ambao ni viongozi wake,ukiwafungua mioyo zao hao ukaona walvyo huwezi tamani kusikia neno cdm.Wanapo kwenda mbele...
  7. N

    Wawili wajeruhiwa kwa risasi nyakabale mkoani Geita

    Wachimbaji wadogo wadogo maarufu kama wangoni kiji cha nyakabale kilichopo karibu na mgodi wa zahabu GGM mmoja amejeruhiwa na lisasi ya mkononi na walinzi alipojaribu kukimbia na mawe ya dhahabu mali ya GGM.Mwingine ilipita ubavu wa kushoto akikimbia kuelekea polini.Tukio lingine lina siku kam 4...
  8. N

    Dk slaa Rais wa wafuasi wa siasa za maji taka

    Hawa cdm hata muungano hawautaki wanataka waubomoe kwa hoja ya selikali tatu.Kwa hili siitaji hata kuwasikia kabisa, taifa kwanza chama baadae, munalusha chopa kushinda hamshindii kidumu chama cha mapinduzi.
  9. N

    CHADEMA ni Zitto, Msiotaka acheni!

    Sioni mchango wa cdm kitaifa wameshindwa kutatua migogoro ndani ya chama hawatufai, hata siasa taka wanazo endekeza zimewashinda wamebaki maneno tuu.Chama cha ukweli lazma kitangulize maslai ya taifa kwanza, hawa cdm wamediliki kutetea serikali tatu kwenye rasmu ya katiba mpya ambayo haiwezi...
  10. N

    Rais Kikwete awasili Uingereza kwa ziara ya siku tatu

    Angeenda na waziri kivuli hata mmoja ingekuwa sawa
Back
Top Bottom