Recent content by NiceBetter

  1. N

    JamiiForums Tanzania SoC02 Elimu ya Mahusiano ianze kutolewa shuleni

    Hapo kwenye ukatili hapo inabidi kukazia sana, Pia kuna ndoa za kulazimishwa na kurithiwa kwa wake na ndugu wa marehemu yapo mengi sana nadhani ni kweli jamii haina elimu ya kutosha juu ya mahusiano. Makala nzuri sana hii.
  2. N

    JamiiForums Tanzania Ashikiliwa akituhumiwa kufanya jaribio la kumuua Makamu Raia wa Argentina

    hakufyatua, huenda itakua alikua anapima walinzi kama wapo makini na kiongozi wao
  3. N

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Nimemtia mimba mdogo wake na mpenzi wangu

    Eti shetani alitupitia, kwaiyo kama sio mimba shetani bado angekua na nyie. Kikubwa akapime kama ana ujauzito kweli umuoe yeye uachane na dada yake. Mbali na hapo ukubali kukosa wote
  4. N

    JamiiForums Tanzania Je! Kuna namna zakufanya kurudisha number ambayo imefutwa?

    Tafuta IT akusaidie
  5. N

    JamiiForums Tanzania Engineer II - (4 POSTS) at TANROADS

    Thanks
  6. N

    JamiiForums Tanzania Wako wapi Branch na Tala?

    yani wabongo mtu unamjua tu unamkopesha harudishi sembuse kumkopesha usiyemjua
  7. N

    JamiiForums Tanzania SoC02 Tanzania na uchumi

    Wakipatikana viongozi bora wanaojali maslahi ya nchi na sio maslahi yao binafsi basi uchumi ni rahisi kukua
Back
Top Bottom