Recent content by nice 2

  1. nice 2

    TANZIA: Mama Mzazi wa mbunge Zitto Kabwe, Shida Salum afariki Dunia

    Mkuu Waberoya ulihadimika sana, nakusabahi!
  2. nice 2

    Hongera wakili kijana mwenzetu Albert Msando

    Ha h haha hii picha nimeipenda sana
  3. nice 2

    Kutoka Mahakama Kuu kanda ya Dar: Usikilizwaji wa uamuzi wa pingamizi la Zitto

    Dakika kumi tangu nini kitokee mkuu?
  4. nice 2

    Kutoka Mahakama Kuu kanda ya Dar: Usikilizwaji wa uamuzi wa pingamizi la Zitto

    Da, kweli wakili msando ni msomi.... peke yake anakula sambamba na mabingwa wa kuchanganya sheria! hahahaha
  5. nice 2

    Kutoka Mahakama Kuu kanda ya Dar: Usikilizwaji wa uamuzi wa pingamizi la Zitto

    Mambo ya kizamani hayo Ben hebu muwezesheni kijana
  6. nice 2

    Urais 2015: CHADEMA kupoteza 45% ya kura alizopata Slaa 2010

    CUFU ndio chama gani tena hicho mkuu?
  7. nice 2

    Urais 2015: CHADEMA kupoteza 45% ya kura alizopata Slaa 2010

    Endapo Zitto atafukuzwa CHADEMA, chama kitakuwa kwenye hatihati ya kupoteza 45% ya kura za urais ambazo chama kilizipata mwaka 2010. Ni dhahiri Zitto ndiye kipenzi cha watu kwenye maeneo ambayo CDM inapendwa kukiko sehemu zingine nchini.
  8. nice 2

    Kinachoendelea Kigoma "KARIBU SHUJAA ZITTO KABWE".

    Go Zitto.... wewe ni shujaa wa kweli!!! Tunakuombea Mungu akutaguliena hiyo kesho uione ukiwa salama.
  9. nice 2

    Bunge laahirishwa, Kamati ya Maliasili yawaka moto!

    Love him or hate him... that is ZITTO, the unstoppable.
  10. nice 2

    Zimebaki siku ngapi za kina Zitto?

    CHADEMA ndio nyumbani kwa ZZK, he is there to stay
  11. nice 2

    Kuuelewa Mgogoro wa CHADEMA - 5: Wanasiasa Wetu Watatu - Mbowe, Slaa na Zitto...

    MM jiandae kupokea matusi kwa leo mpaka hapo kesho utakapotoa ushauri ndio utarudi kuonekana kweli wewe ni "jembe"
  12. nice 2

    Mtei amuangukia Zitto Kabwe, adai ni mwanasiasa jasiri

    Zitto haondoki CHADEMA ng'o
  13. nice 2

    When 'Zitto Kabwe' expels 'Mtei' from Workers Party in North Korea

    Kwani siku 14 zinaisha lini?
Back
Top Bottom