Recent content by Nibozali

  1. Nibozali

    Hii hamahama ya Wapinzani imekaa poa kwa upinzani, itawaondoa wanapizani uchwara wote

    Kuna wale wapinzani waliotukimbia huku ccm kwa maslahi binafsi sasa wanarudi baada ya vyuma kukaza upande wa kule, wanajaribu upande wa pili waone hali ikoje. Vuguvugu hili LA kuhama linaweza kuwa advantage kwa vyama vya upinzani kwani itawasaidia kuondoa wale wapinzani uchwara wote. Na kwa...
  2. Nibozali

    Diamond ampa dj wake, Romy Jones nyumba ya milion 100 kama zawadi ya harusi

    Ni kiki tu za kutaka kumuweka kwenye headlines, lakini hapo hakuna cha nyumba wa Dada yake na uwanja vilivyotolewa
  3. Nibozali

    Diamond ampa dj wake, Romy Jones nyumba ya milion 100 kama zawadi ya harusi

    Hizo ni kiki tu kwa sisi tunafahamu hayo mambo. Hapo hakuna cha nyumba wala uwanja ila hiyo inatumika kuwajenga wenzako ndugu. Zinduka!
  4. Nibozali

    Baada ya soko LA filamu bongo kubuma, wasanii wameanza kutumia uwanja wa siasa kutafuta kiki.

    Kiukweli wasanii wetu tuwahurumie kwa sababu soko LA kazi zao kwa sasa siyo zuri, na kama mnavyofahamu msanii yeyote yule bila habari za hapa na pale za Mara kwa Mara zinazomhusu yeye lazima atapotea kwenye ramani. Ukiangalia kwa sasa kazi zao zilizokuwa zinawafanya watrend kwenye ramani soko...
  5. Nibozali

    Tetesi: Billionaire ( Dr. Luis Shika) Kuidhamini Yanga

    Ule mwendelezo wa Wanachma wa cha mapinduzi kuipenda kilabu ya Yanga inazidi kujidhihirisha, na awamu hii kuna tetesi kuwa billionaire aliyejizolea umaarufu siku za hivi karibuni Dr Luis Shika amepanga kumwaga mabilioni yake kwa klabu ya Yanga SC. Mtakumbuka kuwa billionaire huyu alitaka...
  6. Nibozali

    Tania za wanasiasa ni kama zile za wale Malaya wa kona Bar

    Hapo kwenye heading ni Tabia siyo Tania
  7. Nibozali

    Tania za wanasiasa ni kama zile za wale Malaya wa kona Bar

    Habari wanajf! Kiukweli usimwamini mwanasiasa hata siku Moja! Mtu yeyote aliyejipambanua kuwa maisha yake yanategemea siasa ili kuweza kusonga mbele usimwamini kwani yeye siasa ni kama kitega uchumi kwake, hivyo hawezi kukubari maisha yaende kombo wakati anaona fursa upande wa pili katika...
  8. Nibozali

    Msanii Wema Sepetu arejea CCM, aitosa CHADEMA

    Ni ukweli usiopingika kuwa hata mzazi wa Wema Sepetu Atarejea ccm muda si mrefu. Kinachonishangaza ni kitendo cha yeye kujikausha siku ambayo binti yake ametangaza kurejea tena ccm. Inafahamika kuwa nyote mnatakiwa kuja kuungana na sisi na taratibu zote zilishakamilika, sasa nini kimekushinda...
  9. Nibozali

    Nape na Mbowe hawana tofauti!

    Duuuhh siasa Nouma sana
  10. Nibozali

    W. Slaa nje ya CHADEMA, hawezi kung'aa wala kufika popote!

    Ngoja tuone kama utabiri wako utatimia
  11. Nibozali

    Wapi Nape, keshapoa?

    Alishapoa na ameamua kuungana na sisi tena
  12. Nibozali

    Ushauri kwa chama changu CCM: Wahamiaji hawa kabla ya kuwakata mikia wawe wanafuta kauli zao za nyuma kwanza

    Ni kweli chama chetu kimeridhia kuwapokea wanachama ambao wameamua kurejea nyumbani kwao ambapo wengi was walipakimbia siku za nyuma kwa sababu zao binafsi NASA za kimaslahi. Lakini ikumbukwe kuwa wahamiaji hawa wakiwa huko kwenye vyama vingine walidiriki kukitukana chama chetu mno, kwa midomo...
Back
Top Bottom