Barbarosa
JF-Expert Member
- Apr 16, 2015
- 22,584
- 27,817
Yaliyomkuta Zito Kabwe ndiyo yatakayo mkuta W.Slaa kama akiamua kujiunga na Chama kingine cha Siasa badala ya chadema, na sababu ni kwamba Siasa Tanzania watu hawafwati mtu hata siku moja bali wanafwata Chama, na Watanzania huunga mkono Chama kutokana na mlengo au muelekeo wa Chama husika, na ndiyo maana kuna watu wataipigia kura CCM kama Chama na haijalishi nani kahama Chama hicho!
Hivyo basi mafanikio ya chadema kama Chama cha upinzani hayana tofauti na mafanikio ya CUF, wote wana kundi lao maalumu ambalo ndilo linalowapigania na kuwapa kura na haijalishi nani ni Kiongozi, kwa CUF ni wauumini wa Dini ya Kiislamu na kwa chadema ni Watu wa KLM!
Hivyo Waumini wa CUF wataipigia kura CUF na haijalishi nani yuko CUF, ndiyo maana Uchaguzi uliopita pmj na Lipumba kujitenga na CUF bado Wafuasi wa CUF waliipigia kura CUF na hivyo hata kama Lipumba akianzisha Chama kingine hatahama na Wafuasi wa CUF vivyo hivyo chadema Watu wa KLM wataipigia kura chadema na kamwe hawawezi kuhama kumfwata Slaa au hata Mbowe kama akienda Chama kingine!
Hivyo basi kama Slaa atajiunga na Chama kingine huu ndiyo utakuwa mwisho wake kisiasa Tanzania, kwani asisahau kwamba umaarufu alionao siyo kwa sababu ya yeye kama Slaa bali ni kwa sababu ya chadema kama Chama ambacho kinasapoti kubwa ya watu wa KLM, hata Zito Kabwe alifikiri hivi kwamba umaarufu wake ulikuwa ni wake na kwamba kama angetoka chadema basi wafuasi wangemfuata matokeo ni kinyume chake, imetokea kwa Lowasa pia na CCM,...