Recent content by Ni tatizo

  1. Ni tatizo

    JamiiForums Tanzania Live Now Online - Manchester United Championship Parade

    Ashley Young huyo.
  2. Ni tatizo

    JamiiForums Tanzania Wakristo tuishinikize serikali iufunge ubarozi wa Saudi Arabia nchini!!

    Wewe uliyepost si Mkristo!! PROPAGANDA za kitoto.
  3. Ni tatizo

    JamiiForums Tanzania TELECOMUNICATION v/s PC ENGENERING

    Maswali ya kujiuliza kwanza:- 1. Mshahara mkubwa ni nini/upiw? 2. Benefits zimekaaje kwa wote hao wawili? 3. Allowances zimekaaje pia kwa hao wote wawili. NB: TAFSIRI YA MSHAHARA NA KIPATO NI VITU VIWILI TOFAUTI!
  4. Ni tatizo

    JamiiForums Tanzania Mabomu na wategaji wake, je usalama wa taifa huwa wapi?

    Hapa bongo usalama wa taifa kazi yao ni kutishia raia tu ili wawe wanakunywa bia bure!!! Na kufanikisha nipangi ya "siem-siem"
  5. Ni tatizo

    JamiiForums Tanzania Sasa na form 6 itakuaje

    Kipindi hiki ufaulu utapanda! Na waliomark mitihani ya form four mwaka jana wamelaumiwa na kupewa onyo kali kutikana na taswira iliyoipata jamii,nchi hii siasa inafanyika kwenye mambo yaa msingi na sisi tuliewaajiri hilo baraza la mawaziri hatuchukui hatua na ndo maana wanatuburuza tu!!
  6. Ni tatizo

    JamiiForums Tanzania Uchafu wa st.john university adharani.

    Du!!! Af zamani ilikuwa ni chuo cha wagogo na watoto wa viongozi wa kanisa la anglican!
  7. Ni tatizo

    JamiiForums Tanzania Maneno aliyosema Lema Olasiti Arusha

    Sijui kama ninakosea ila ninafikiri siasa za bongo ni upuuzi mtupu na usipokuwa na uwezo wa kutafakari mwenyewe ni hayari sana kwa kuharibika fikra na mutazamo yako,,,,ninafikiri Lema yupo sawa! La msingi ni waakina nchemba,nape,lusinde wakanushe kwa kuongea ukweli sio kushindana!
Back
Top Bottom