Live Now Online - Manchester United Championship Parade

Live Now Online - Manchester United Championship Parade

attachment.php

Basi likipita mtaa wa Deansgate huku washabiki kwa maelfu wakishangilia
 
attachment.php


Kushoto mashabiki wameshajaa Albert Square ambapo basi litapita kama saa moja ijayo kuanzia sasa
 
attachment.php


Jonny Evans ameulizwa atatumiaje muda wa mapumziko baada ya msimu kuisha, amejibu: "Nitafunga ndoa"
 
attachment.php


Watu wamemwagika kwa wingi mitaani kumuaga Sir Alex Ferguson na kushangilia ubingwa
 
attachment.php


Saa mbili na nusu jua linazama wakati kombe linaendelea kukata mitaa ya Manchester
 
attachment.php


Van Persie anasema alingoja muda mrefu kupata medali. Jana hakuivua alilala nayo.

Anasema hakuna jambo kubwa katika maisha yake kama kufundishwa na Sir Alex Ferguson. Anasema hakuna mfano wake.
 
attachment.php

Tom Cleverly anasema furaha haielezeki kutwaa kombe mara ya kwanza
 
slide_297132_2444418_free.jpg


attachment.php


Wameweka kituo Albert Square washabiki wanaserebuka
 
Back
Top Bottom