Recent content by Ni kwedi Kaya

  1. N

    JamiiForums Tanzania Hivi ni kweli kwamba White people wana akili kuliko Blacks?

    je kama tax driver nae ni phd holder? au alikwambia level yake ya elimu?
  2. N

    JamiiForums Tanzania Msaada: Mwanangu kala kinyesi chake

    ni kweli mkuu ifanyike palepale mlipona kala ila kama mmeshamsafisha cjui inakuaje ngoja niulize ntarudi kukujibu
  3. N

    JamiiForums Tanzania Msaada: Mwanangu kala kinyesi chake

    ni kweli ipo na nimeshuhudia wazazi wengi wakilamba kinyesi watoto wao wasihathirike
  4. N

    JamiiForums Tanzania Msaada: Mwanangu kala kinyesi chake

    pole sana inatakiwa na wazazi mkilambe icho kinyesi japo kidogo ili mtoto acje kuwa chizi baadae
  5. N

    JamiiForums Tanzania Tanzia: Ezekiel Malongo wa TBC afariki dunia

    umekosea mkuu huwa wanasema mbele yako nyuma yetu na sio nyuma yako mbele yetu
  6. N

    JamiiForums Tanzania Mwenye Anointing Water kutoka kwa TB Joshua

    ha ha ha ha.
  7. N

    JamiiForums Tanzania Ni maiti au mzigo?

    kwenye ndege maiti ni cargo
  8. N

    JamiiForums Tanzania Neno la Uzima: KUMTOLEA MUNGU – WAKUMBUKE WAJANE

    Mungu akubariki sana mtumishi kwa mafundisho mazuri unayotupa
  9. N

    JamiiForums Tanzania Wananchi wa Tanzania Wilaya ya Chamwino Dodoma

    sio Job Ndugai ndio ingekuwa zaidi?
  10. N

    JamiiForums Tanzania Usalama wa Daraja la mto Wami umezingatiwa?

    subiri ukue utajua dogo
  11. N

    JamiiForums Tanzania Usalama wa Daraja la mto Wami umezingatiwa?

    Wachangiaji wote naona hamjui kitu ila mnaongea tu, eti mwingine anasema limejengwa kabla ya uhuru unauhakika?
  12. N

    JamiiForums Tanzania Ukiona Mmea huu, ujue hapo mahali pana uwezekano mkubwa kuwa na Almasi

    ha ha ha, ntachimba kimyakimya watu wasijue wakijua ntawaambia nilikuwa nachimba shimo la choo ndo nkakutana na mali
  13. N

    JamiiForums Tanzania ITV wanaanza kupoteza professionalism kwa kutumika kisiasa

    mi ccm utaijua tu
  14. N

    JamiiForums Tanzania Tanesco; Nisaidieni hili jamani

    pole sana mkuu. bilashaka tigopesa waliku2mia msg yenye kumbukumbu namba inayosema muamala wako ume2mwa kwa wakala... nenda ofisi yoyote ya tanesco karibu yako waonyeshe iyo msg ya tigo pesa na utapatiwa token zako bila usumbufu nenda leo
  15. N

    JamiiForums Tanzania Ukiona Mmea huu, ujue hapo mahali pana uwezekano mkubwa kuwa na Almasi

    mbona kwenye garden yangu ya maua upo? tena hapa dar ngoja nianze kuchimba
Back
Top Bottom