Ni maiti au mzigo?

Ni maiti au mzigo?

pochetino

Senior Member
Joined
Mar 23, 2015
Posts
132
Reaction score
23
Wadau karibuni, nipo na mzee hapa ananiambia maiti ni mzigo, anadai mtu anavyosafiri analipa nauli ya kawaida, lakini akishakufa hata thamani ya kusafirisha maiti huongezeka kufkia bei sawa na mzigo, kingine akifa tunabeba sawa na mzigo hlo halina mjadala coz is arleady dead body!
 
Whatever the case, does not change anything
 
pochetino

Of course ni mzigo. Unajua kwenye ndege maiti huwekwa wapi? Tofauti kidogo na mzigo mwingine ni kwamba mzigo huu hubebwa kwa staha.
 
Last edited by a moderator:
Maiti sio mzigo ni mwili wa mtu aliyekufa
 
Ni muhimu kuwa na heshima kwa watu waliotutangulia...
Wao kufariki haimaanishi kuwashushia heshima hadi wageuke mizigo...
 
Masalia ya mwili,, lkn huchajiwa Kama mizigo mingine ya kawaida
 
Back
Top Bottom