kyatamato
JF-Expert Member
- May 14, 2015
- 387
- 269
Nimeshangaa hawa wakazi wa wilaya ya chamwino mkoani Dodoma kutokujitokeza katika zoezi la uwandikishaji wa daftari la kudumu ... mpaka sasa inaelekea siku ya nne wamejiandikisha 68 tu.
Wengi wao wakigoma wakisema eti zile mashine za BVR ni za kifrimason, na kwa utafiti kati ya 68 walojiandikisha wengi wao ni watumishi wa umma.
Sijajua tatizo nini.
Wengi wao wakigoma wakisema eti zile mashine za BVR ni za kifrimason, na kwa utafiti kati ya 68 walojiandikisha wengi wao ni watumishi wa umma.
Sijajua tatizo nini.