Recent content by NHWANI

  1. NHWANI

    JamiiForums Tanzania Ole wako ufanye shopping

    Kurekebisha hali iliopata UHALALI kwa miongo 3,si kitu cha mchezo.
  2. NHWANI

    JamiiForums Tanzania Vurugu za Umeya Dar: Polisi wazingira nyumba ya Halima Mdee kumkamata. Ajisalimisha!

    inatengenezwa hali kuonyesha UCHAGUZI umeshindikana ili ITEULIWE TUME ya kuongoza jiji.
  3. NHWANI

    JamiiForums Tanzania Siri Nzito: TPA (Bandari) walivyowazidi kete Magufuli, Majaliwa

    Tuendelee wala tusiache KUWAOMBEA JPM na KM,lakini ile sheria kuwaweka watu kizuizini ilifutwa ?ndio wakati wake kwa hawa waliofanya TZ shamba la bibi.
  4. NHWANI

    JamiiForums Tanzania Maneno YaMjini hayo..............................

    mjini ni watu na matukio sio Maghorofa ,Dar watu wa matukio ndio maana kunaitwa mjini....
  5. NHWANI

    JamiiForums Tanzania Duh

    hii ndio tofauti ya miaka 200+ ya kujitawala na miaka 54 ya kujitawala.
  6. NHWANI

    JamiiForums Tanzania Friends forever,Inasisimua mno!

    NDOHO SHIDA....HAMNA SHIDA...RAHA TU...
  7. NHWANI

    JamiiForums Tanzania Jiji la Kigali-Rwanda mwaka 2040...!!!!

  8. NHWANI

    JamiiForums Tanzania Marais 4 wakenya kwenye Picha ya pamoja kwenye miaka ya 70

    watawala WANAANDALIWA,uhuru alipendekezwa na Moi akashindwa,na baadae Kibaki aliemshinda alihakikisha na anachukua baada yake.
  9. NHWANI

    JamiiForums Tanzania Mganga hajigangi

    Alishinikizwa, kila jema lilielekezwa Bagamoyo.
  10. NHWANI

    JamiiForums Tanzania Kwanini watoto wa matajiri wanapenda mwanaume maskini?

    imekaa njema,
  11. NHWANI

    JamiiForums Tanzania Kwanini kuna muda wa kuisha matumizi kwenye vitambulisho vya Taifa?

    SMART LIFE(cards) lazima ziwe na muda ili Uweze Kudhibitiwa....Tumeingizwa kwenye SMART LIFE ili tudhibitiwe....funguka...
  12. NHWANI

    JamiiForums Tanzania Dawa ya kuondoa chelewa (hangover)

    DAWA YA HANGOVER KUACHA KILEO.
  13. NHWANI

    JamiiForums Tanzania Tupia neno kama uliwahi kucheza mchezo huu

    Unakinoa kisoda kinakuwa kama wembe mpaka Wenzio wanakataa kushinda na wewe kukata kamba,sababu unashinda tuu.
  14. NHWANI

    JamiiForums Tanzania Kila kitu safi, tatizo hiyo t-shirt ya ndani haijaendana na suti

    ni RAISI wa watu anaishi kama WATU,WANGAPI WANA-MUDA YA KUPANGA MAVAZI?
  15. NHWANI

    JamiiForums Tanzania Unakumbuka ilikuwa ni mwaka gani hiyo ya nauli ya UDA?

    1983 na za express ilikuwa 2/=
Back
Top Bottom