kenshi
JF-Expert Member
- Jul 12, 2015
- 1,970
- 1,953
sio kweli kwani bado muingiliano unakuwepo utakuta kijana wa majohe kibeberu anafanya kazi kwenye nyumba za hao matajiri na anawapiga vizuri sana kwani mabinti wenyewe wanataka kuhudumiwa.Hiyo ilikuwa Zamani.siku hizi mtakutana wapi?
Anasoma Feza girls wewe unasoma Kigogo fresh secondary
Anaishi Seaview wewe unaishi Majohe kibeberu
Shopping anafanyia Mlimani city wewe Soko Mjinga banana
Likizo unaenda Machwechwe Sumbawanga kwa babu yeye anaenda Philadelphia kwa Uncle.
Ukisafiri safari inaanzia ubungo bus terminal YEYE inaanzia Mwl nyerere AIRPORT
Kanisani St Joseph wewe kanisa la ufufuo ukonga
Club wewe unaenda Dar live yeye new Africa.
Mapumziko Weekend wewe Mikadi au Coco yeye Ramada au Beach comber
Zamani iliwezekana kwa kuwa tuli share vingi