Recent content by ngwena kafuru

  1. N

    JamiiForums Tanzania Askofu Gwajima: Jumapili hii nitaongoza maombi maalumu kumuombea Tundu Lissu

    Kwani anakulazimisha kumusikiliza? Acha kujifanya kua wewe ni mwema, ungekua mwema ungekua mbinguni tayari. Sent using Jamii Forums mobile app
  2. N

    JamiiForums Tanzania Ni nani alitaka kumuua Tundu Lissu?

    Acha madihala utamulima baadae ule wapi toa hapa cheap propaganda. Sent using Jamii Forums mobile app
  3. N

    JamiiForums Tanzania Wachina wa Meli ya 'Samaki wa Magufuli' kwenda mahakama ya kimataifa. Wadai walipwe fidia pamoja na meli yao

    Unaongea kwa kua hujasoma taaluma ya sheria nafikiri! Unafikiri mahakami wanaangalia ukweli au wanaangalia uhalisia? Sasa kama serikali ilikua wrong ulitaka wapindisheje? Kwa nn sisi watanzania mnaforce uzalendo kwenye vitu visivyokuwepo? Hivi hao wazalendo unao watetea wamezaliwa Leo? Walikua...
  4. N

    JamiiForums Tanzania Wachina wa Meli ya 'Samaki wa Magufuli' kwenda mahakama ya kimataifa. Wadai walipwe fidia pamoja na meli yao

    Unapoongea usilazimishe Mwenye akili tofauti na wewe akuunge mkono! Nafikiri unasoma historia kwa nn akina savimbi aliamua kuwaunga wakoloni huko Angola. Umoja huletwa na Upendo!. Unafikiri kwa akili zako tu unaweza ungana na jirani yako anayekudharau? Na je mali yake ikiibiwa ukawaona wezi...
  5. N

    JamiiForums Tanzania Tanzania has become a hotbed of Kagame spies under Magufuli watch: Who is Mike Rwalinda and Hotel Kagame in Dar?

    Nakuhurumia wewe uaminiye maneno ya wanasiasa na kuwategemea watu! Jamaa ngoja nikwambie hata Mungu alijua aliposema kua Amelaaniwa amtegemea mwanadamu. Mwaka 2015 lowassa si alikua CCM je leo yuko wapi? Ukitaka kujua kua Dunia hii wa kutegemea ni Mungu endelea kuwamini watu wanaojitapa kwa...
  6. N

    JamiiForums Tanzania Tanzania has become a hotbed of Kagame spies under Magufuli watch: Who is Mike Rwalinda and Hotel Kagame in Dar?

    Kama ni vitabu vya wazungu mbona umevi quote? Kweli kuimarisha ulinzi nakubali Neno linasema tumutumaini yeye wakati tukitekeleza huo ulinzi. Wewe unajua kwa nn hata israel ilikua inatekwa na kupelekwa utumwani? So suala la kukesha naimani Mungu aliyejuu maombi yetu bado anayasikia na wachache...
  7. N

    JamiiForums Tanzania Tanzania has become a hotbed of Kagame spies under Magufuli watch: Who is Mike Rwalinda and Hotel Kagame in Dar?

    Acha uongo MUNGU ASIPO ULINDA MJI WAKESHAO WAFANYA KAZI BURE! Nani anakesha? Kwani syria somalia sudan na DRC hapakua na wakeshaji Mungu aliye mbinguni pekee anaweza kutuweka huru na salama kwa maada hii sioni ukweli ndani yake bali ni propaganda tu! Hakuna awezaye kuihusuru Tanzania isipokua...
  8. N

    JamiiForums Tanzania Tanzania has become a hotbed of Kagame spies under Magufuli watch: Who is Mike Rwalinda and Hotel Kagame in Dar?

    Kwa hiyo lowassa ni myarwanda? Mbona wanapropaganda wa fisiem mnaakili ndogo sana? Wadanganyeni wasiojua kufikiri ×2. Lowassa tangu nikue sijawahi kusikia ameenda Rwanda wala kuwa na nasaba na wanyarwanda. Tusemeje kwa Trump na israel? Yaani Trump anaihusudu israel kwa sababu mwanae kaolewa...
  9. N

    JamiiForums Tanzania Wanaccm msitake kutufanya watanzania wote hamnazo

    Huwa siamini kua mtu akiwa fisiem anakua yuko sawa kifikra. Sent using Jamii Forums mobile app
  10. N

    JamiiForums Tanzania Adui yetu mkuu ni wanaopingana na juhudi za Rais

    Kumbe kasoma MUCE iringa ndio maana. Sent using Jamii Forums mobile app
  11. N

    JamiiForums Tanzania Mwana CCM yupi anafaa kuwa rais baada ya Mh. Dkt Magufuli 2025?

    Hatuishi kwa tabiri kwenda zako na chama chako, gari , linalovuja oil* Sent using Jamii Forums mobile app
  12. N

    JamiiForums Tanzania Wabunge wa Canada wampongeza Rais Magufuli. Wasema ni miongoni mwa Marais wachache duniani

    Sasa ulitaka wamutukane? Mbona mobutu sesseko ng'anda wa zagamba nkuku alikua akisifiwa na serikali ya wabeligiji kua na raisi bora afrika! Sent using Jamii Forums mobile app
  13. N

    JamiiForums Tanzania Bomoabomoa Dar, wamefikia hatua ya kusema,"iko siku na yeye ataondoka"

    Jina lako na maandiko yako broo! Sent using Jamii Forums mobile app
  14. N

    JamiiForums Tanzania From Atlanta: Is Lissu and the likes agents of Neocolonism?

    Its better to side with Neo colonialists than to side with our fellows who assume power of the might GOD. These guys are their to dispise, humiliate,devide,and dismiss there bloodly sisters and brothers so why i can't be ready to take part in foreign desire? If Tanzania we have a thirst to...
  15. N

    JamiiForums Tanzania Taja jina la shule ya msingi uliyosoma enzi hizoo

    Mubure primary school 1961-1966 hapohapo middle school 197-1970. Sent using Jamii Forums mobile app
Back
Top Bottom