Recent content by NGWECHE

  1. N

    Mapenzi yamebeba vifo

    hakuna mtu anaweza kutunga habari ya kuwa na HIV sio kitu kizuri mpaka utunge hakuna nitakachofaidika kwa kutunga
  2. N

    Mapenzi yamebeba vifo

    Asante sana kwa ushauri wengi wamekuja inbox na wengi wamenishauri njia moja ya kupona ni kuamwua kuwa na yesu kama ni hilo tu mimi sioni kama nitashindwa ingawa najua kila jambo linachangamoto zake. nimekubali kuokoka uzuri mimi ni mkristo tangu tangu udogo wangu lakini sikuwa mwokovu...
  3. N

    Mapenzi yamebeba vifo

    basi niafadhali nife niende mbinguni tu sasa
  4. N

    Mapenzi yamebeba vifo

    nitakutafuta asanteni sana
  5. N

    Mapenzi yamebeba vifo

    Habari zenu wana JF Mimi sio mwenyeji katika mtandao huu lakini imenibidi niwe na akaunti, pia si mwandishi mzuri lakini mtanielewa kwa hiki nitakacholeelezea. Niliolewa miaka 6 iliyopita na tumebahatika kupata mtoto wa kiume ambaye kwakweli alileta furaha kwenye nyumba yetu. Wakati wa...
Back
Top Bottom