Recent content by Ngwasu89

  1. Ngwasu89

    Dar Kila Kona Kuna Chimbo La Malaya , Hii ni hatari .

    Malaya wapo kila sehemu hata ulaya wapo sema wao wamezoea maisha hayo tena wao wameadvance kabisa mashoga ndo wengi zaidi
  2. Ngwasu89

    Gereza hili linamfaa Bashite!

    Umecomment kabla hujasoma nilichokiandika!
  3. Ngwasu89

    Gereza hili linamfaa Bashite!

    Hapana Bashite hawezi kufungwa kirahisi hivyo, kipindi cha utawala wake Nchini Darisalama Mateja walipungua sana! kuna haja apewe kitengo kingine anafaa sana. kumpeleka jela ni kupoteza watu muhimu katika jamii.
  4. Ngwasu89

    Makonda, Mpina ni chambo tu, sukuma gang inakuja taratibu

    ukiongelea makundi usisahau lile la kujipendelea kila kitu kiende kwao, kiufupi magang hayahitajiki nchi hii.
  5. Ngwasu89

    Kukaa kwa shemeji kuna shida zake Jamani..

    watu mna roho mbaya unaamua kujirudishia mahali ukweni dah
  6. Ngwasu89

    Wanajeshi kwa waliohusika na tukio hili wawajibishwe

    Hata ni civilians wakivua combat zao
  7. Ngwasu89

    Wanajeshi kwa waliohusika na tukio hili wawajibishwe

    kabisa anajihami baada ya kujua kosa lake
  8. Ngwasu89

    Huyu ndio Mungu wao

    Waafrika wote wana Miungu yao tena Miungu hao ni watiifu kweli ukiomba lazima upewe!
  9. Ngwasu89

    Huyu ndio Mungu wao

    Dini zilizoletwa na meli na majahazi Afrika zinaleta shida sana. Kama zilivyofanya kazi enzi hizo za kutugawa Waafrika bado zinaendelea hadi leo. Tunafarakana kwa sababu ya dini zao na waliozileta wanaona raha tunavyo hangaika nazo. Uislam na ukristo vyote vinalenga kuabudu mizimu yaani watu...
  10. Ngwasu89

    Marehemu Lwajabe anatajwa katika sakata la Kabendera; Kuna nini?

    Kuna vipi tuviachie vyombo vya ulinzi na usalama vifanye na kujisimamia vyenyewe. Visipofanya wengi husema hata havipo na ni dhaifu, vikifanya vinageuka kuwa vikwazo mara vinaonea watu bure. Yanayo mhusu Erick anayajua yeye kwa sababu wakati anafanya hakukushirikisha. Nchi hii ni huru na...
  11. Ngwasu89

    Rais Vladimir Putin mpaka leo bado anatumia 'Windows XP'

    KGB ilikuwa ya iliyojulikana km soviet union baada ya kusambaratika haipo tena Urusi iliyopo inaitwa FSB. Sent using Jamii Forums mobile app
  12. Ngwasu89

    Wanavuta bangi pale Arsenal?

    Issue ya Cv sio kigezo sana cha kumpata kocha bora! Makocha wenye vipaji wapo km walivyo wachezaji tu. Arteta anajua hali iliyopo arsenal kwa sasa, kwa hiyo anaingia pale akiwa anajua kabisa nini anatakiwa akifanye. Kwanza asicheke na board kuhusu usajili km vipi ahakikishe wanamsapoti vilivyo...
Back
Top Bottom