Huyu ndio Mungu wao

Huyu ndio Mungu wao

Kashaenda kwa Allah kuthibitisha uungu wake
 
Mimi naungana nao ktk imani yao hiyoa, kwani hawaja mdhuru mtu hata sasa.
Kuna watu tunaamini na kuabudu mungu na kusoma kitabu kilicho shushwa toka juu(sijui kwa njia gani?)

Wafira.ji ni sisi wa dini takatifu,
Magaidi ni sis watakatifu,
watuhumiwa wengi mahakamani ni sisi watakatifu,
wagombea mali za urithi ni sisi watakatifu,
maandamano ya kijinga jinga ni sisi watakatifu,
kusoma shule ni anasa ni sisi watakatifu,
Chuki na ulipizaji visasi ni sisi wa dini takatifu,
Makanisa yanachomwa na sisi watakatifu,

Mungu wetu watakatifu si msafi kama yule wa kenya,endelea kukataa kukubali
Na ni SISI DINI YETU ILIYOIDHINISHA MASHOGA KUOANA,,NA WANAWAKE KUSAGANA....TENA MBELE YA KANISA TUNALOLIITA TAKATIFU...NDOA INAPITA....sasa nani MFIRAJI?

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Dini zilizoletwa na meli na majahazi Afrika zinaleta shida sana. Kama zilivyofanya kazi enzi hizo za kutugawa Waafrika bado zinaendelea hadi leo.
Tunafarakana kwa sababu ya dini zao na waliozileta wanaona raha tunavyo hangaika nazo.
Uislam na ukristo vyote vinalenga kuabudu mizimu yaani watu waliokufa yesu na muhamad bora uabudu kwenye milima ya babu zenu.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Back
Top Bottom